SIRI IMEVUJA: Nunueni hisa Boeing kama kweli mnataka kupata ukweli wa Ndege zilizonunuliwa

Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.

Maelezo ya Katibu Mkuu wa Wizara anatoa picha ya kinachoendelea kati ya Airbus na Boeing.
Mkuu huko kwenye competition unaenda mbali....

sisi tupo matakoni we we unatupeleka usoni
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.

Maelezo ya Katibu Mkuu wa Wizara anatoa picha ya kinachoendelea kati ya Airbus na Boeing.
Bombadia tulishamaliza mambo yake. Nazo bomu. Hii nayo bomu. Meli bomu. Ndege ilonunuliwa ya rais bomu. Rada bomu.

Watawala walishazoea kuingizwa mkenge. Au wanajiingiza kwa maslahi binafsi. Na madude yote hayo yalikuja kwa kulazimisha.
 
Hakuna kipya katika maswali yaliyoko kwenye mada kuu kuhusu ununuzi wa kitu kama ndege.

Mada ingekuwa na maana kwa kujadiliwa kama angetoa takwimu kwa kila swali na utata wowote kama upo.

Pasipo kuweka mkataba wa manunuzi, humu tunajadili nini - hisia na uzushi labda
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.

Maelezo ya Katibu Mkuu wa Wizara anatoa picha ya kinachoendelea kati ya Airbus na Boeing.
Ndege ni terrible au sio terrible teens. Hili swali halihitaji kuwa na mshindani kibiashara kulijibu
 
Juzi nilisema kama kuna taifa lenye watu wa kudanganya kirahisi basi ni watanzania. hivi kweli mtu anaweza kuja na figisu kiasi hiki na bado ukampa like zako. Huyu hajui akisemacho kiukweli hana hata idea ndege ni nini. Kama kawaida yangu sitajibu kwa msimamo wa kisiasa, yaani kuisifia serikali ilipofanya madudu au kuiponda serikali ilipofanya vizuri na sitasita kusema ukweli kama kilichoandikwa ni uongo au mtu kuandika kile usichokuwa na ujuzi nacho na kuwafanya wasio na ujuzi na hicho ulichokiandika waamini ndio ukweli. Nina hakika hii forum ni sehemu ya kujifunza na sio kudanganya.
. Wahusika wakuu toka serikali ya Tanzania ni akina nani
2. Role ya Ubalozi wa Tanzania Washington ni na Balozi Masilingi alisema nini?
3. Technical Information za hiyo ndege (apart from hizi tunazopewa na serikali) - Tanzania ndiyo inayonunua ndege na ndie aliyechagua ndege anayotaka hivyo technical information ya ndege yake atatoa yeye na siyo boeing.
4. Overhauls na hasa kuhusu engines za hiyo ndege - ni swala la mnunuzi wa ndege hizi na ndio maana kukawa na mashauriano na watengenezaji wa injini na sio boeing.
5. Pre purchase report inasemaje na je ya TCAA ilisema Boeing warekebishe nini? - naisikia kwa mara ya kwanza maana TCAA wako responsible kwa type certification na siyo purchasing ya ndeg,e baada ya kutengenezwa TCAA watatoa certificate of airworthiness kwa ATCL baada ya ukaguzi wa ndege kuwaruhusu kutumia ndege hiyo hapa Tanzania.
6. Majina ya maofisa wa TCAA waliokwenda kufanya hiyo pre purchase inspection ni akina nani? - waende kufanya pre purchase inspection? acha kudanganya watu pia angalia role na functions za TCAA kwenye website yao. kuna TCARs (Tanzania Civil Aviation Regulations) unaweza kuzisoma.
7. Je tulikubaliana hiyo ndege iwe equipped nini na nini kwa gharama zipi? Nenda ATCL na TGFA wakuonyeshe uchaguzi wa configuration na extra features. Mara nyingi uchaguzi wa configuration na extra features hufanyika baada ya kusign purchase agreement (soma Jamhuri)
8. Terms za malipo ni zipi na na kiasi gani kimelipwa tayari na nani aliidhinisha hayo malipo? Omba mkataba uone payment schedule kama Serikali ya Tanzania ndio imenunua ndege nani anatakiwa kuidhinisha malipo?
9. Je ESCROW ipo au hakuna? Terms zake zinasemaje?
10. Terms za hiyo delivery ni zipi? Omba mkataba uone, very basic item
11. Terms za Warranty zinasemaje? Omba mkataba uone pia angalia namba 20 hapo chini
12. Seller (being) Inability to Perform terms zinasemaje? Omba mkataba uone pia angalia namba 20 hapo chini
13. Buyer (Government of Tanzania) Inability to Perform terms ni zipi? Omba mkataba uone
14. Terms za TAX zinazemaje? na liability huko USA na Tanzania ni kiasi gani? Omba mkataba uone
15. Governing Laws zipi zimetumika kwenye huu mkataba? (tusisahau Richmond....) Omba mkataba uone
16. Kampuni ipi imetoa insurance huko USA? at what cost? Tanzania watachagua kampuni baada ya kuundwa ndege kwa ajiri ya ndege kuja Tanzania na kisha insurance kwa ajiri ya matumizi ya ndege. Sidhani hata kama wameshaaanza kuzungumzia hii issue.
17. Je serikali itakuwa compensated kiasi gani kwa technical problems za hizi ndege? Omba mkataba uone pia anagalia namba 20 hapo chini
18. Kwa nini sirikali haijaweka clause ya Rotable Exchange Program kwenye huu mkataba? hii siyo maintenance contract ni purchasing contract, Rotable Exchange Program unaweza hata kuwekeana na Ethiopian Airways.
19. Kwa nini Boeing wamekataa extended warranty kwenye vipuri ambavyo sofa yao kubwa ni frequent failure? Acha uongo, hii siyo maintenance contract ni purchasing contract, suppose mnaamua kununua spare part kwa agent au mna outsource maintenance?
20.Kuna kwa nini Boeing wamekataa clause kuhusu specific compensation to be paid to GOT/ATCL for increase in the weight of the aircraft Manufacturers design take-off weight (MTOW)? Tatizo hapa ni kuwa mambo yakiharibika ni kuwa boeing hawatokubali liability yoyote ile ya compensation toka kwa GOT/ATCL...Soma Jamhuri kuhusu masuala ya dhamana:kuna dhamana ya uwezo wa ndege (aircraft performance), kuna dhamana ya aina ya ndege iliyochaguliwa (aircraft model applicability), na kuna dhamana ya ya muonekano na vifaa vilivyochaguliwa (configuration)

21. Performance Guarantee inasemaje? inahusiana na selected aircraft performance
Kwa dhati ya moyo wangu, umejibu pumba
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.

Maelezo ya Katibu Mkuu wa Wizara anatoa picha ya kinachoendelea kati ya Airbus na Boeing.

Inawezekana ugomvi wao ukawa na tija kwetu kufahamu kama kuna mambo hawakutuambia ukweli.
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.

Maelezo ya Katibu Mkuu wa Wizara anatoa picha ya kinachoendelea kati ya Airbus na Boeing.
Viroja vya Lumumba hivi... eti anayetumia common sense!! Kama hizo ndo common sense zenyewe, basi kazi ipo!!!

Yaani kwavile Balile mganja njaa amesema habari za Air Bus nanyi ndo tayari mmeshadandia na kuona ndo hoja ya kutumika kwenye kuji-defend!!

Lisilo na shaka ni kwamba, kila mwenye atumiae ubongo kufikiri anafahamu kabisa kwamba Balile is there for hire! Na kwa hili wala haitashangaza ikiwa ametumika ili kuaminisha wajinga kwamba Zitto Kabwe anatumika na AirBus!!

Ni mjinga tu ndie anaweza kuamini porojo kama hizo... yaani AirBus inayokuwa na order ya makumi ya ndege toka kwa single client leo hii aanze kufukuzana na client mwenye order ya kandege kamoja na wala hana dalili ya kuwa major client in the future!!!

Habari kwamba kuna vimeo vya 787-8 vinavyotafuta wanunuzi ni habari iliyo public... iliwahi kuripotiwa na Bloomberg in 2014 na Reuters walikuja kuripoti habari sawa na hiyo mwaka 2016!

Kwamba kuna 787-8 Dreamliners zenye hitilafu zinazotumia engine GEnx-1B and -2B ni habari ambazo pia zipo public na hata leo ukiingia kwenye website ya The U.S. Federal Aviation Administration utakuta angalizo walilokuwa wametoa kwa Boeing la kuzitaka hizo ndege zifanyiwe marekebisho!!

Kwahiyo ni mjinga tu ndie ataamini ili kufahamu hayo unatakiwa kutumiwa na Air Bus wakati kila kitu kipo wazi! Na licha ya hao The U.S. Federal Aviation Administration, hizo habari ziliripotiwa sana na media za US including CNN ambayo inapatikana worldwide!!!

Kwamba order ya December itakuwa deliverable by June 2018... only 18 months later ni jambo linalojaza shaka!! Rwanda walitoa order ya Boeing mwaka 2012 na waliambiwa ndege ingekuwa delivered 2017... five years later!!!

Nitaendelea kubaki na mashaka yangu juu ya hili suala and it's a matter of time the truth will be revealed!!!!

It's a matter of time!!
 
Watu walizooa kula commission kwenye manunuzi ya serikali, sasa mtakula mlenda kama wengine. Hao vibaraka mliowaweka bungeni na wengine kwenye mitandao hawabadilishi chochote. Kila jambo lina mwisho, 10% bye byeeeeee
 
Mtu anayetumia common sense atafahamu hizi ni kelele za Airbus.

Jiulize, Tanzania imenunua ndege sita lakini inayohojiwa ni hii Boeing kutokana na ushindani wake na Airbus.

Hatusikii Bombardier zikihojiwa kwa sababu hakuna mshindani kibiashara.

Maelezo ya Katibu Mkuu wa Wizara anatoa picha ya kinachoendelea kati ya Airbus na Boeing.

LINK>>Neither Boeing nor Airbus can win tit for tat war

Umejivua nguo kweli mkuu, yaani Airbus kabisa wapige fitina kwa boeing kuuza ndege moja kwa tanzania?? hivi unajua Boeing wameuza ndege ngapi za namna hiyo zikiwepo na terrible teens??.

Halafu hata wakipiga fitina itawasaidia nini wakati deal tayari imeshafungwa??..
 
Watu walizooa kula commission kwenye manunuzi ya serikali, sasa mtakula mlenda kama wengine. Hao vibaraka mliowaweka bungeni na wengine kwenye mitandao hawabadilishi chochote. Kila jambo lina mwisho, 10% bye byeeeeee

Ukweli ni kwamba tumechoka kubebeshwa mizigo kwa kulipa kodi kwa makosa ya wajinga wachache..
 
Sasa mimi nauliza alafu na wewe unaniuliza tena mkuu.ningekuwa najua nisinge uliza
Screenshot_20170511-214030.png
 
Kwa uelewa wangu najua kuwa contract language matters in 2 dimensions:

1. Persuasion. Basically People argue over what’s due to them and gain sympathy being able to point to language of what was actually agreed to

2. Legal recourse. The language ultimately matters most if you sue, but the vast majority of contract disputes don’t wind up in court (or arbitration).

Kinachonishangaza ni kuwa watu wako focused kuuliza few info badala ya ku think outside the box ili watu wapate kitu kizima. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa mpaka leo hizi media, members wa JF na asasi za kiraia zilizopo hapa Tanzania zinazojisifu kwa kwenye kudemand state accountability na transparency lakini cha ajabu zimeshindwa kununua hata hisa hata 3 tuu za hili shirika hili ili mpate kujua taarifa zifuatazo zinazohusu mkataba wa hizi terrible teens:

1. Wahusika wakuu toka serikali ya Tanzania ni akina nani
2. Role ya Ubalozi wa Tanzania Washington ni na Balozi Masilingi alisema nini?
3. Technical Information za hiyo ndege (apart from hizi tunazopewa na serikali)
4. Overhauls na hasa kuhusu engines za hiyo ndege
5. Pre purchase report inasemaje na je ya TCAA ilisema Boeing warekebishe nini?
6. Majina ya maofisa wa TCAA waliokwenda kufanya hiyo pre purchase inspection ni akina nani?
7. Je tulikubaliana hiyo ndege iwe equipped nini na nini kwa gharama zipi?
8. Terms za malipo ni zipi na na kiasi gani kimelipwa tayari na nani aliidhinisha hayo malipo?
9. Je ESCROW ipo au hakuna? Terms zake zinasemaje?
10. Terms za hiyo delivery ni zipi?
11. Terms za Warranty zinasemaje?
12. Seller (boeing) Inability to Perform clause terms zinasemaje?
13. Buyer (Government of Tanzania) Inability to Perform clause terms ni zipi?
14. Terms za TAX kwenye huu mkataba zinazemaje? na liability huko USA na Tanzania ni kiasi gani?
15. Governing Laws zipi zimetumika kwenye huu mkataba? (tusisahau Richmond....)
16. Kampuni ipi imetoa insurance huko USA? at what cost?
17. Je serikali itakuwa compensated kiasi gani kwa technical problems (kwa hizi ndege?
18. Kwa nini sirikali haijaweka clause ya Rotable Exchange Program kwenye huu mkataba?
19. Kwa nini Boeing wamekataa extended warranty clause kwenye mkataba vipuri ambavyo sifa yao kubwa kwenye hizie terrible teens ni frequent failure?
20.Kwa kwa nini Boeing wamekataa clause kuhusu specific compensation to be paid to GOT/ATCL for increase in the weight of the aircraft Manufacturers design take-off weight (MTOW)? Tatizo hapa ni kuwa mambo yakiharibika ni kuwa boeing hawatokubali liability yoyote ile ya compensation toka kwa GOT/ATCL...
21. Performance Guarantee clause inasemaje?

Mengine nitarudi naenda dukani mara moja....
Sasa hapa kuna siri gani imevuja? sasa kama mnajua kinacho endelea maswali ya nani?
 
Hivi mshajiuilza kwa nini SIRIKALI haitaki kuweka wazi/transparent kuhusu Turnaround Plan (TAP) and Financial Restructuring Plan (FRP) ya ATCL ili wananchi na walipa kodi wote tukaona operational milestones for its revival.
Wewe chizi maarifa kama unajua kinacho endelea maswali ya nani?
 
Back
Top Bottom