Siri iliyofichwa toka enzi na enzi juu ya uzao wa asili wa dunia hii

Alkebulan

Member
Jan 15, 2013
78
148
Nanukuu kutoka kitabu cha KUMBKUMBU LA TORATI FUNGU LA 28:

1 Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;
2 na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana, Mungu wako. 3 Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani. 4 Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo,
maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
5 Litabarikiwa kapu lako, na chombo chako cha kukandia unga. 6 Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo.
7 Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.
8 Bwana ataiamuru baraka ije juu yako katika ghala zako, na mambo yote utakayotia mkono wako; naye atakubarikia katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako. 9 Bwana atakuweka uwe taifa takatifu kwake, kama alivyokuapia; utakaposhika maagizo ya Bwana, Mungu
wako, na kutembea katika njia zake.
10 Na mataifa yote ya duniani watakuona umeitwa kwa jina la Bwana, nao watakuwa na hofu kwako. 11 Bwana atakufanya uwe na wingi wa uheri, katika uzao wa tumbo lako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako, katika nchi Bwana aliyowaapia baba zako kwamba atakupa.
12 Atakufunulia Bwana hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake,
na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
13 Bwana atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya; 14 msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lo lote, kwenda mkono wa kuume wala wa
kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia.

15 Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.

16 Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani. 7 Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo, 20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.
21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.
23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.
25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
(Jamii mbali mbali za watu weusi wametapakaa Duniani kote, Asia utawakuta siddi,na Jarawa waliopo India, Amerika ya kaskazini wa amerika weusi, Amerika ya kusini utawakuta, wamejaa tele,Brazili, Visiwa vya Carebbean, Jamaika, Barbados, Haiti nk, Australia utawakutana Aborigine na Andamanese, nk)

26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.
27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.
28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;

(Je ni kweli tumepigwa kwa wazimu na upofu? Bumbuazi la moyo? Nikiona yanayo enedelea kwenye bara letu, nakubaliana na huu mstari.)

29 utakwenda kwa kupapasa-papasa mchana, kama apapasavyo kipofu gizani, wala hufanikiwi katika njia zako; nawe sikuzote utaonewa na kutekwa nyara, wala hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
(Leo hii nenda kamtendee vibaya Raia yoyote wa Bara la Ulaya, Utasikia Nchi zao zinavyo kuja juu. Lakini watu weusi wana uwawa kila siku, hakuna Taifa lolote linalokemea!!!! Watawala wa ki Afrika hawajui wanataka nini, wana wanaongoza Nchi kwa kupapasa papasa kama kipofu gizani)

30 Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
31 Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako, usile nyama yake; utanyang'anywa punda wako mbele ya uso wako kwa jeuri, usirudishiwe; kondoo zako watapewa adui zako, usipate mtu wa kukuokoa.

32 Wanao na binti zako litapewa taifa lingine, na macho yako yataangalia, na kuzimia kwa kuwatamani mchana kutwa; wala hapatakuwa na kitu katika uwezo wa mkono wako.

(Waliyo yapitia Mababu zetu enzi za utumwa, fikiria leo hii unyang’anywe wanao wapelekwe utumwani, sipati picha machungu waliyo pitia Mababu zetu enzi za utumwa)

33 Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;
(Utajiri wote wa Bara la Afrika una neemesha nchi za Magharibi, Madini, Mazao tunalima tunategemea tusafirishe kwenda Ulaya)

34 hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo na macho yako, utakayoyaona.
35 Bwana atakupiga magoti na miguu kwa jipu lililo zito, usilopata kupozwa, tokea wayo wa mguu mpaka utosi wa kichwa.

(Magonjwa chungu nzima bado yana liandama Bara la Afrika)
36 Bwana atakupeleka wewe, na mfalme wako utakayemweka juu yako, kwa taifa usilolijua wewe wala baba zako; nawe huko utatumikia miungu mingine ya miti na mawe.
37 Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza Bwana.

(Kila siku kwenye vyombo vya Habari tunasikia jinsi watu weusi wanavyo pata ubaguzi wa rangi. Kwa walio wahi kuishi Ughaibuni watakubaliana na mimi jinsi tunavyo dharauliwa Ughaibuni)
38 Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.
39 Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.
40 Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.
41 Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.
42 Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.

43 Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.

(Utakubaliana na mimi apa. Ni rahisi kwa mgeni kutoka Ughaibuni kufanikiwa kwenye nchi zetu za ki Afrika kuliko mzawa. Wahindi, wachina, wa arabu, wazungu ndio wanatawala chumi za nchi zetu)

44 Yeye atakukopesha, wala wewe usimkopeshe; yeye atakuwa ni kichwa, wewe utakuwa mkia.
(Niambie ni Taifa gani la Afrika limesha wahi kuikopesha nchi yoyote ya magharibi, wao ndio wanatukopesha na tumejaa madeni chungu nzima!!!)

45 Na laana hizi zote zitakujilia juu yako, zitakuandama na kukupata, hata uangamizwe, kwa kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, kushika maagizo yake na amri zake alizokuagiza;
46 nazo zitakuwa juu yako kwa ishara na ajabu, na juu ya uzao wako milele;
47 kwa kuwa hukumtumikia Bwana, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingiwa vitu vyote;
48 kwa hiyo utawatumikia adui zako atakaowaleta Bwana juu yako, kwa njaa, na kwa kiu, na kwa uchi, na kwa uhitaji wa vitu vyote; naye atakuvika kongwa la chuma shingoni mwako, hata atakapokwisha kukuangamiza.(Utakubaliana na mimi waliyo pitia Mababu zetu enzi za utumwa)

49 Bwana atakuletea taifa juu yako kutoka mbali, kutoka ncha ya dunia, kama arukavyo tai; taifa usiloufahamu ulimi wake;

(Kutoka ncha ya Dunia!!! Utakubaliana na mimi mataifa yote yaliyo zivamia nchi za Afrika yametoka Kaskazini, mataifa ya Magharibi pamoja na wa arabu,
Kama arukavyo tai!!! Vamizi zinazofanywa na nchi za Magharibi kwa kutumia ndege vita, na ndege zisizo na rubani.
Taifa usilojua Ulimi wake!! Lugha ngeni, Kingereza, Kifaransa, Ki arabu)

50 taifa lenye uso mkali, ambalo haliangalii uso wa mzee, wala halipendelei kijana;
51 naye atakula uzao wa ng'ombe wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako mpaka utakapokwisha kuangamizwa; wala hatakuachia nafaka, wala divai, wala mafuta, wala maongeo ya ng'ombe wako, wala wana-kondoo wako, hata atakapokwisha kukuangamiza.
52 Naye atakuhusuru katika malango yako yote, hata kuta zako ndefu, zenye maboma, ulizokuwa ukiziamini, zishuke, katika nchi yako yote kila upande; naye atakuhusuru katika malango yako yote kila upande, katika nchi yako yote aliyokupa Bwana, Mungu wako.

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.
54 Mtu mume kati yenu aliye mwororo na laini sana, jicho lake litakuwa ovu juu ya nduguye, na juu ya mke wa kifuani mwake, na juu ya masalio ya wanawe waliosalia naye;
55 hata asitake wao mmojawapo apewe katika nyama ya wanawe atakaowala, kwa kuwa hana kitu kilichomsalia kwake; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako yote.
56 Mwanamke kati yenu aliye mwororo na laini, ambaye hangehatirisha kuweka wayo wa mguu wake nchi kwa umalidadi na ulaini, jicho lake huyu litakuwa ovu juu ya mume wa kifuani mwake, na juu ya mwanawe, na juu ya binti yake,

57 na juu ya mchanga wake atokaye katikati ya miguu yake, na juu ya wanawe atakaowazaa; kwa kuwa atawala kwa siri, kwa uhitaji wa vitu vyote; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako.

58 Kama hutaki kutunza kufanya maneno yote ya torati hii yaliyoandikwa katika kitabu hiki, upate kulicha jina hili la fahari na utisho, Bwana, MUNGU WAKO;
59 ndipo atakapofanya Bwana mapigo yako yawe ya ajabu, na mapigo ya uzao wako, mapigo makubwa kwa kweli, ya kudumu sana, na magonjwa mazito ya kudumu sana.

60 Naye atakurejezea maradhi yote ya Misri juu yako uliyokuwa ukiyaogopa, nayo yataambatana nawe.
61 Tena kila ugonjwa, na kila pigo yasiyoandikwa katika kitabu cha torati hii, atakutia nayo Bwana juu yako, hata utakapokwisha kuangamizwa.

(Leo hii mtu mweusi ndio amekua wa majaribia ya Magonjwa chungu nzima, HIV, Ebora, Kimeta, Magonjwa ya Ng’ono na mengine mengi chungu nzima)

62 Nanyi mtasalia wachache kwa hesabu, ninyi mliokuwa mfano wa nyota za mbinguni kwa wingi; kwa kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako.

(Ukipiga idadi ya watu wenye asili ya Afrika Duniani, ukalinganisha na Idadi ya Ngozi nyeupe Caucasian, Utakubaliana na mimi kwenye huu mstari
Idadi ya watu kwa ma Bara, Asia ambayo ni jamii sawa na wazungu (Caucasian) ina watu 4.6bilioni inachukua 59.41% ya idadi ya watu duniani
Afrika ina idadi ya watu 1.3bilioni ambayo ni sawa na 17.44% Bado sijaweka idadi ya mataifa mengine ya ulaya na Amerika ambao ni jamii sawa na Wa Asia (Caucasian)
Kwa hesabu za haraka watu weupe wanatuzidi idadi ya watu kwa mara tatu Zaidi, Bado wana leta propaganda kwamba tuna zaliana sana!!! Wanatuletea madawa ya uzazi wa mpango ambayo kwayo hawatumii, dada zetu kupata mimba siku izi imekua tabu, wakipata mimba zinaishia kutoka, wimbi la watoto wanao zaliwa kabla ya muda (njiti) linazidi kuongezeka, Kansa za shingo ya Kizazi zinaendelea kuwatafuna mama zetu, Kansa za maziwa zimetamalaki )

63 Tena itakuwa, kama vile alivyokuwa akifurahi Bwana juu yenu kwa kuwatendea mema na kuwafanya kuwa wengi, ndivyo atakavyofurahi Bwana juu yenu kwa kuwapoteza na kuwaangamiza; nanyi mtanyakuliwa katika hiyo nchi mwingiayo kuimiliki.
64 Bwana atakutawanya katika mataifa yote, tokea ncha hii ya dunia hata ncha hii ya dunia; nawe huko utatumikia miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako, nayo ni miti na mawe.

65 Wala katika mataifa hayo hutapata raha iwayo yote, wala hutakuwa na kituo cha wayo wa mguu wako;

(Tunashuhudia kila siku ndugu zetu wanavyo uhawa bila utetezi wowote Marekani,)

lakini Bwana atakupa huko moyo wa kutetema, na macho ya kuzimia, na roho ya kudhoofika;
66 na uzima wako utakuwa na wasiwasi mbele yako; nawe utakuwa na woga usiku na mchana, wala hutaamini kamwe maisha yako;

67 asubuhi utasema, Laiti ingekuwa jioni! Na jioni utasema, Laiti ingekuwa asubuhi! Kwa kicho cha moyo wako utakavyokucha, na kuona kwa macho yako utakavyoona.

68 Bwana atakurudisha tena Misri kwa merikebu, kwa njia ambayo nilikuambia, Hutaiona tena po pote; nanyi huko mtajiuza nafsi zenu kwa adui zenu kuwa watumwa na wajakazi, wala hapana atakayewanunua.

(Leo hii ndoto ya kijana wa ki afrika ni kufika Ulaya, Wasomi wetu kila siku wana ota ndoto ya kufika Ughaibuni.Akifika ughaibuni hatamani kurudi kuwatumikia uzao wa baba zake. Thamani yake inakuwa tu ni sawa na watu weusi wengine, anapata ubaguzi ule ule kama wa Afrika wengine.

Vijana wa Ki Afrika kila siku wanazama bahari ya mediterania wakizamia kwenda Ulaya, wanakimbia bara lenye kila fursa.Wakifika ulaya wanafanya kazi zisizo na staha wala utu.

Viongozi wetu kila siku wanatamani wapate safari za kwenda Ughaibuni,

Dada zetu wanasafirishwa kwenda mashariki ya kati kujiuza, na kufanya kazi za ndani, wanayo kumbana nayo huko Mungu anajua.

Tupende bara letu, linakila fursa, lina rasilimli za kila aina, tupendane wa Afrika wenzangu, tuthaminiane, maendeleo ya bara letu yataletwa na sisi wenyewe, kulifananya bara la Afrika liwe kama ulaya ni jukumu letu.
Wewe ni wa thamani kuliko jamii yoyote hapa duniani, wewe ni uzao wa asili wa Dunia hii. yote unayo pitia ni mpango wa kizazi cha nyoka ambao wameshaona muda wao wa kuishi apa duniani umekaribia kuisha.)

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU BARIKI UZAO WAKO WA ASILI, AMINA.

JAMII MBALI MBALI ZA WA AFRIKA WENZETU WALIO TUPWA UKO NA UKO KATIKA FALME ZA DUNIA , HII NI JAMII YA SIDDI, IPO INDIA
siddi.jpg

HII NI JAMII YA AETA WAPO UFILIPINO.
Aeta people philipines.jpg

HAWA NI ABORIGINE, WAPO AUSTRALIA

Aborigine.jpg

HAWA NI BARBADOS WAPO VISIWA VYA CAREBEAN
People_of_Barbados-Carebean Island.jpg
 
Mfalme Zu..........
Hamtaki tuukimbie uongo kama huu...
Mnataka mtupange ili muendelee kula vichwa....
 
Hitimisho?...tumelaaniwa?,,tusubiri neema yaja?,tupambane Hadi mwisho? au...
 
Hawa watu wanapatikana pia kwenye nchi moja inaitwa Pappua New Guinea (PNG) ambayo iko jirani na Australia

View attachment 2038639

HII NI JAMII YA AETA WAPO UFILIPINO.
View attachment 2038635

HAWA NI ABORIGINE, WAPO AUSTRALIA

View attachment 2038633

HAWA NI BARBADOS WAPO VISIWA VYA CAREBEAN
View attachment 2038653
Unaposema uzao wa asili unakusudia nini ?
 
Kwani kibiblia mtu ni mwili tu ama mtu ni roho ina nafsi inayoishi katika mwili? Hiki kitabu ulichokinukuu hapa mwandishi wake ni Musa ambaye ni mwisraeli, wakati huo waafrika tayari walikuwepo nchi kadhaa mojawapo Misri iliyowatawala hao waisraeli. Na hiki kitabu kilisomwa wakiwa wametoka huko utumwani Misri wapo njiani kuelekea nchi ya ahadi (Kaanani) na waisraeli siyo watu weusi ama wafrika bali asili yao ya kwanza kabisa ni waarabu (wairaki/ Mesopotamia) sasa hapa mtu mweusi anaingiaingiaje kanakwamba ndiye aliekuwa akipewa haya maagizo? Bila shaka unapingana na mwandishi wa kitabu cha Mwanzo kinachoelezea asili ya mwanadamu (Musa) ambaye ndiye aliyeandika kitabu hicho cha Kumbukumbu la torati ulichokinukuu. Binafsi naitafsiri bibilia kibinafsi zaidi na siyo kiujumla kama ulivyojumuisha mambo hapa. Kuhusu kutawanyika watu ulimwenguni kote hii siyo tu wafrika, ama huwaoni wachina, wahindi, waarabu na wazungu wengineo wengi tu wakiwa wamesambaa Duniani kote?
 
🙏🙏🙏Barikiwa mkuu binafsi nakushukuru sana Tena sana,

japo ningeomba Kama sita kuudhi
Tuletee Uzi unao husu ukweli kwamba Africans ni uzao wa asili wa dunia

na Hawa langi nyeupe nikizazi Cha nyoka
Lakini pia utufungue kuhusu MDA wao kukaribia kuisha ningeomba kujua Jambo moja je wanamda gani wa kuishi hapa duniani? Je wao mdawao utaisha sisi tutabaki?
Je Nini asiri yao kiukweli?

Ombi hili mkuu si kwa lazima Bari Kama moyo wako utabarikiwa kufanya HIVYO

Mwisho nikupongeze kwa Bible reference yako
nimeya pitia maneno hayo kabla yahuu Uzi lakini skuipata maana Kama uliyo itoa wewe
Mimi nilijua maneno hayo yanaki zungumzia kizazi Cha ntanyahu

Lakini kwa namba ulivyo linganisha naanza kuona inamhusu mtu mweusi

Nahapa ndipo kiuyangu ya kujua kuilicho jificha juu ya mtu mweusi inapo zidi ukari
Nina Imani unamengi juu ya mtu mweusi mkuu tafadhari usiwe mchoyo tufungue 🙏🙏🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom