Siri 5 ambazo mke hatakiwi kumwambia mume wake licha ya utamu was penzi lao

Kuna maswali ukishaanza kuniuliza tu najua hapa sipo mahali sahihi kwa wakati sahihi. Nafunga ubalozi
 
Nafikiri hii mada haiwahusu wale dada zetu wanaovaaga madira haswa Yale ya rangirangi halafu wanayachomeka kwenye pichu..
Hao hawatunzi siri hawana hizo mbavu..🤣
 
Nafikiri hii mada haiwahusu wale dada zetu wanaovaaga madira haswa Yale ya rangirangi halafu wanayachomeka kwenye pichu..
Hao hawatunzi siri hawana hizo mbavu..🤣
Hao hawana filter lolote linalokuja akilini wanaliropoka mdomoni
 
Back
Top Bottom