Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia

Hiyo 4500$ ni pesa nje ya bonus na mengine! Per month nakunja not less than 18,000$ kulingana na nature ya kazi mshahara si mkubwa ila bonuses ndo nyingi sana , wajuba wa abroad wananipata

Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu

Note that sifanyi Starehe kwamba sina akiba ipo Tena in large amount! 700M+

Kataa kubali ni wewe
wewe jamaa utakuja kuolewa
 
Bado unatumukishwa? Niko zangu home nimechill pipo wananifanyia maokoto, daily naingiza 300,000. No stress, no pressure, no kutumwatumwa kama wewe apo. Na nimekaa kimya.
Matako yako.
 
Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia

Hiyo 4500$ ni pesa nje ya bonus na mengine! Per month nakunja not less than 18,000$ kulingana na nature ya kazi mshahara si mkubwa ila bonuses ndo nyingi sana , wajuba wa abroad wananipata

Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu

Note that sifanyi Starehe kwamba sina akiba ipo Tena in large amount! 700M+

Kataa kubali ni wewe
Matako wee. Niamini huwezi kudumu kwenye hiyo hali. Kuanzia kiroho mpaka uhalisia. Kiroho Hakuna anaejusifia hadharani utajiri MUNGU anaona unawadhihaki wasiokuwa na hicho niamini utapotezwa mpaka utashangaa. Kikawaida Hakuna tajiri anajisifia kiboya hivyo.

Ukitaka kujua kuna watu wana hela Na hela tena. Unajua budget yote ya Tz ya miaka 10 anammiliki mtu mmoja lakini hujiulizi kwa nini huyo birionear hawezi kusapot sehemu tu ya utajiri wake kwa kujenga barabara nzima hata dar to moro kwa uchache ilhali hiyo barabara ni punje ya utajiri wake? Jibu ni dogo tu binadamu hawadhaminiki
 
Ni wao na Mimi ni Mimi
 
Back
Top Bottom