Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Mimi ninatural kabisaa niko vilevilw kila mahali
Hongera katoto kazuri, hebu tuone picha na wenzako waone ili waige mfano mwema kwako
Wataniloga
Lakini kweli, bora usitume tu.

Maana kuna mmoja hapo amesema ye bila kujibandika make-up sawa sawa siku haiendi
Unafikiri nikatoto kazuri bure??
Lazima kuna sababu, sio bure bure
Hahahahahahha nimecheka hapa khaa!!
 
Duuh. Kuna baadhi ya watu bila make-up hawawezi kuthubutu kutoa mguu bedroom. Yaani hata watoto wao hawazijui sura halisi za mama zao. Wanaume sisi ni wavumilivu sana na tunawapenda hivyohivyo, unconditionally.
 
True. Imagine hii kitu: Unaanzaje kutoa mguu ndani kwenda kwa bebi bila kutupia mipoda kopo nne na mirangi ndoo kadhaa..
5.jpg
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom