Usipokuwa na wasiwasi nayo basi inabidi na mimi niwe na wasi wasi na wewe, hivi Community Airline ya Diallo iko wapi?nna wasiwasi sana na hii ndege
Usipokuwa na wasiwasi nayo basi inabidi na mimi niwe na wasi wasi na wewe, hivi Community Airline ya Diallo iko wapi?
Community kwa taarifa nilizokua nazo ilikua bad business pengine walikua wanakwepa na kodi za hapa na pale, lakini hakukua na sustainability for obvious reasons. Sasa nna mashaka sana na hii the so-called "Fastjet"..maswali ni mengi kuliko majibu/Usipokuwa na wasiwasi nayo basi inabidi na mimi niwe na wasi wasi na wewe, hivi Community Airline ya Diallo iko wapi?
typical mdanganyika..kwa hio hujali kama wanalipa kodi, hujali kama ndege inazingatia safety, flying guidelines & regulations, etc etcwakati wengine wanaendelea kuwa na wasiwasi, mimi nimeshakata tiket yangu kurejea saridalama mwezi huu. Sitaki kuishi kwa wasiwasi, ingekuwa biashara yagu sawa.