Sipendi watu wanamwita Jacquiline Wolper pacha wa Irene Uwoya!

Twande

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
543
172
To me Irene Uwoya ni mzuri mno na ana uzuri wa peke yake!

Haimaanishi Jack mbaya no! But hey! Uwoya is pretty bwana! Halafu hawafanani mi sipendi watu wanaopenda fananishafananisha saingine mtu anakupachika lijitu la ajabu!

N'ways Jack ni mzuri kivyake tu... But hawafanani pliz!.. Sasa Irene mrembo wetu! Ni nini kile kavaa kwenye my dream movie?..all tits outside! shimizi kwa muuza magazeti! Duu sijaelewa kabisa yani!

Mwangalie Wolper:

16kvul1.jpg

ea2g4l.jpg

33o1hm8.jpg
 
Kwani wewe unaonaje 1stlady jamani mbona ujasema chochote? Hahahaaaa
 
msihofu jamani sasa nimenyoa kipara subirini nywele zikirefuka nitairusha ...
Kila mmoja kati ya Irene na Wolper wana urembo wao tofauti kwa pacha nhahahaha hata mie nakanusha
 
To me Irene Uwoya ni mzuri mno na ana uzuri wa pekeyake! Haimaanishi Jack mbaya no! But hey! Uwoya is pretty bwana! Halafu hwafanani mi sipendi watu wanaopenda fananishafananisha saingine mtu anakupachika lijitu la ajabu! N'ways jack ni mzuri kivyake tu... But hawafanani pliz!.. Sasa Irene mrembo wetu! Ni nini kile kavaa kwenye my dream movie?..all tits outside! shimizi kwa muuza magazeti! Duu sijaelewa kabisa yani!

Labda wanafananisha uwezo wa kuigiza na wewe unawaelewa tofauti.
 
kkusema ukweli hata mi nashangaa ni kwa nini wanawaita pacha....nway labda fraternal twins not identical
 
Back
Top Bottom