Sipendi niote ndevu nifanyaje?

EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
2,099
Points
2,000
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
2,099 2,000
Chuna ngozi ya takoni uiweke kidevuni ya kidevuni uiondoe na uiweke vuzini nadhani hapo utakuwa umesolve problem
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,691
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,691 2,000
Wadau binafsi sipendi Ndevu ziniote....
Ushauri wenu unahitajika nitumie njia gani ili kuzuia Ndevu zisiote kabisa maishani mwangu.....
Nenda ukafanyiwe upasuaji, uwekewe ngozi ya tako kwenye kidevu hautaota ndevu kamwe!
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
13,184
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
13,184 2,000
Nenda hospital kule wameanza kutoa kitu inaitwa hormones za kike. Wakikudunga tu hata sauti mbona itabadilika iwe kama ile James Delicious. Kaazi kweli kweli
 
T

Takakeisho

Senior Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
184
Points
250
T

Takakeisho

Senior Member
Joined Oct 1, 2019
184 250
Uwe unang'oa pindi tu zikijitokeza
Hii ndio jia bora na pekee anayotakiwa kuifuata ila ina tatizo pindi atakapoanza kuzinyofoa atatokewa vipele na miwasho ya ajabu akiendelea zitaacha kuota.
Sasa sijui huwa zinaanza kumea ndani kwa ndani sielewi binafsi napenda sana midevu nina uchebe wa kufa mtu and am proud of it
 
goggles

goggles

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
1,528
Points
2,000
goggles

goggles

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
1,528 2,000
Wadau binafsi sipendi Ndevu ziniote....
Ushauri wenu unahitajika nitumie njia gani ili kuzuia Ndevu zisiote kabisa maishani mwangu.....
Chuna ngozi eneo lote ambalo ndevu huota kamwe hutaota ndevu
 
Bingwa tz

Bingwa tz

Member
Joined
Sep 26, 2019
Messages
42
Points
95
Bingwa tz

Bingwa tz

Member
Joined Sep 26, 2019
42 95
Wadau binafsi sipendi Ndevu ziniote....
Ushauri wenu unahitajika nitumie njia gani ili kuzuia Ndevu zisiote kabisa maishani mwangu.....
tozi25 Nlitaka kuandika oni ambalo sikutaka kumtag yeyote na kwa7b sina App ya Jf na sijui kuandika oni bila kumtag mtu nikalazimika kufanya hivo ili wale wanao sumbua madole gumba yao waone.... 🙏 kwa kunielewa....
 
92Ubuntu

92Ubuntu

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Messages
182
Points
250
92Ubuntu

92Ubuntu

Senior Member
Joined Jan 8, 2014
182 250
Brother mwanaume ndevu......japo hatambuzi anazo ila zina some kind of attraction kwa wanawake...
 
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Messages
27,863
Points
2,000
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined Jan 21, 2014
27,863 2,000
Nilikuwepo hapa kwa ajili ya Michango ya WADAU tu
 
Mkushi Mbishi

Mkushi Mbishi

Member
Joined
Sep 30, 2018
Messages
38
Points
95
Mkushi Mbishi

Mkushi Mbishi

Member
Joined Sep 30, 2018
38 95
Mwanaume ndevu bro

Acha ziote na zitengenezee mazingira sahihi hayo mawazo mengine yatafanya watu wakuone chakula!
 
Mr Tyang

Mr Tyang

Member
Joined
Sep 30, 2018
Messages
81
Points
125
Mr Tyang

Mr Tyang

Member
Joined Sep 30, 2018
81 125
Huyu nae ndo tumempoteza ivo kwenye kundi la wanaume masikini
 
Mla Bata

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Messages
2,003
Points
2,000
Mla Bata

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2013
2,003 2,000
Mwanaume bila ndevu, daaah
 
jr wa arsenal

jr wa arsenal

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
868
Points
1,000
jr wa arsenal

jr wa arsenal

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
868 1,000
Paka kiwi ya viatu (nyeusi) kwa siku mara tatu, asubuhi + mchana + jioni kwa muda wa miezi sita kuanzia leo hazita ota milele.
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
5,856
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
5,856 2,000
WANAUME TUNAZIDI KUPUNGUA
Vipi kuhusu mavuzi,nayo hupendi yaote???
Ushoga huo
Chuna ngozi ya takoni uiweke kidevuni ya kidevuni uiondoe na uiweke vuzini nadhani hapo utakuwa umesolve problem
Jidunge hormone za kike
Huyu nae ndo tumempoteza ivo kwenye kundi la wanaume masikini
Majibu mazuri sana kwa mtoa mada.

Baada ya miaka 2 au miaka 4, akipitia huu uzi ataona makosa yake.
 

Forum statistics

Threads 1,342,663
Members 514,746
Posts 32,759,069
Top