Sipendi niote ndevu nifanyaje?

Bingwa tz

Bingwa tz

Member
Joined
Sep 26, 2019
Messages
42
Points
95
Bingwa tz

Bingwa tz

Member
Joined Sep 26, 2019
42 95
Wadau binafsi sipendi Ndevu ziniote....
Ushauri wenu unahitajika nitumie njia gani ili kuzuia Ndevu zisiote kabisa maishani mwangu.....
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
6,707
Points
2,000
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
6,707 2,000
Wadau binafsi sipendi Ndevu ziniote....
Ushauri wenu unahitajika nitumie njia gani ili kuzuia Ndevu zisiote kabisa maishani mwangu.....
Umeshafikisha umri wa kuota ndevu?
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
3,445
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
3,445 2,000
Wadau binafsi sipendi Ndevu ziniote....
Ushauri wenu unahitajika nitumie njia gani ili kuzuia Ndevu zisiote kabisa maishani mwangu.....

Mkuu, Wewe unayo jinsia gani ??, kama ni jinsia ya kike nitakusasaidia na kama ni ya kiume sahau kabisa msaada kwasababu utakuwa unatudhalilisha sisi wanaume.🀣🀣

Kukataa ndevu ni sawa na msichana kukataa matiti.πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»
 
1gb

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
1,326
Points
2,000
1gb

1gb

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2013
1,326 2,000
Kijana wewe,ukikuwa utaacha kuwaza ujinga na utajifunza kunyoa.
Kama ushakua basi unakaribia ile steji ya upunga huenda una vinasaba vya upunga.
Pole.
 
Bingwa tz

Bingwa tz

Member
Joined
Sep 26, 2019
Messages
42
Points
95
Bingwa tz

Bingwa tz

Member
Joined Sep 26, 2019
42 95
Wadau binafsi sipendi Ndevu ziniote....
Ushauri wenu unahitajika nitumie njia gani ili kuzuia Ndevu zisiote kabisa maishani mwangu.....
Kama hujui njia ya kuzuia ni bora ukae kmya kuliko kusumbua dole gumba lako uonekane nawe upo Jf hupitwi na uzi wowote ule.....
 
CONTROLA

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Messages
722
Points
1,000
CONTROLA

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2019
722 1,000
Ndio umeziiita nakwambia

zitakuja kwa speed 360

Nakupa mwaka tu,mwakani tarehe kama ya leo

Utafungua thread tukushauri Wembe gani mzuri kunyolea

Dawa gani ya kuondoa mapele ya ndevu

Magic ina madhara yoyote?

Najaribu tu kuwaza Title za thread zako baada ya mwaka kuisha
 
Bingwa tz

Bingwa tz

Member
Joined
Sep 26, 2019
Messages
42
Points
95
Bingwa tz

Bingwa tz

Member
Joined Sep 26, 2019
42 95
Ndio umeziiita nakwambia
zitakuja kwa speed 360
Nakupa mwaka tu,mwakani tarehe kama ya leo
Utafungua thread tukushauri Wembe gani mzuri kunyolea
Dawa gani ya kuondoa mapele ya ndevu
Magic ina madhara yoyote?
Najaribu tu kuwaza Title za thread zako baada ya mwaka kuisha
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Noma sana....
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
5,761
Points
2,000
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
5,761 2,000
Kama hujui njia ya kuzuia ni bora ukae kmya kuliko kusumbua dole gumba lako uonekane nawe upo Jf hupitwi na uzi wowote ule.....
Mkuu bangi ya wapi leo umevuta namimi naitaka, huwezi kuandika thread wewe halafu ujijibu mwenyewe.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Forum statistics

Threads 1,342,658
Members 514,746
Posts 32,758,976
Top