Sipendi msichana mwenye tabia hizi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipendi msichana mwenye tabia hizi...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Feb 10, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 41,989
  Likes Received: 37,283
  Trophy Points: 280
  Hizi n dizo tabia za wasichana ambazo sipendi kabisa:
  • kuamka usiku na kuanza kupekua simu yangu
  • msichana mwenye gubu
  • msichana ambaye anajisafisha sana kwa nje huku hajakumbuka kutandika kitanda alichokilalia.
  • msichana mchoyo, ambaye wakija wageni anauvuta mdomo kwa hasira na kuficha chakula.
  • msichana ambaye anapekua mifuko ya shati na suruali kusaka mshiko.
  • msichana ambaye anajidai hawezi kuwatembelea wagonjwa na wenye shida mbalimbali kwa kuwa yuko busy.
  • msichana ambaye anawaza kujiremba na kujipodoa kuliko mustakabari wa maisha yake yajayo.
  • msichana anayefitinisha wanandugu.
  • msichana mwenye maringo na kiburi wakati hamna anachojua.
  • msichana muongo.
  • msichana asiye na hofu ya mungu
  • msichana anayehusudu habari na hadithi za kishirikina.
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Let's face it, no one is perfect. However, some men do not help their cause when it comes to five specific traits that women tend to loathe and typically will get you nowhere when it comes to attracting the opposite sex.

  Whether these things are just part of who you are, or whether it is something that can be "fixed," understand that the top five traits that a woman hates in a man are very real and can be deal breakers when it comes to any relationship.

  Have a Life! Show Some Passion!

  First,....Women want your attention, but they also want you to have a life and not a boring existence that only includes her.

  Next, and keeping on the clingy note, don't call her every fifteen minutes. Regardless of how much she likes you, she is going to end up feeling smothered, avoid your calls and run for the hills. Furthermore, if you are the one constantly calling and she no longer picks up the phone to dial you, it could already be too late.

  The third... Women hate when a man doesn't offer a challenge and tend to classify a submissive man as weak or boring. Women want the Alpha Male. The Alpha Male exhibits strong, powerful behavior that screams, "I can take care of you."

  If you're a Jerk, You're going to be Alone!

  The fourth trait that women hate about men is if they are insensitive. If she feels like you are mocking her or not considering her feelings, she is not going to stick around. If she feels that you don't care about what she thinks, you are going to find yourself quite alone.

  Finally, the last trait that women hate in men is when they feel that they have something to prove by talking about how much money they make or how much something cost or their new Mercedes. Frankly, unless a woman is gold digger, she doesn't care if she really likes you. However, when you exhibit this behavior, it screams inferiority complex and women don't want to be around a guy who feels his relationship is a material goods competition.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Bujibuji ngoja nikampikie shemejio nitajibu kesho hapa..
  Simple Quest..
  Wewe uko perfect hizo tabia ambazo huzipendi na huna hata moja wapo????;)
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Feb 10, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,520
  Trophy Points: 280
  I sense a battle of the sexes is looming. Just wait till that WomanOfSubstance sees this....
   
 5. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #5
  Feb 10, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,318
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Tena watu wanaochagua ndo huwa wanapata wasichana wenye hizo tabia. La maana Bujibuji mwombe Mungu wako kwa bidii zote ili akupe huyo msichana unayemtaka wewe
   
 6. bht

  bht JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Shem, sioni haja ya battle kwenye hili.....B as a man yeye ametoa madhaifu ambayo hangependa mwenzi wake awe nayo

  and bht as a woman pia anaweza kuleta sifa ambazo asingependa mwenzi wake awe nazo!!

  all in all no one is perfect (mume au mke, mapungufu yapo tu)
   
 7. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #7
  Feb 10, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wewe hunahata moja kati ya ulizozitaja?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Feb 10, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,520
  Trophy Points: 280
  Una busara na hekima nyingi sana shem wangu weye. Yaani kila napotoka nje ya mstari wewe upo kuniweka sawa. Ni baraka kuwa na shem kama wewe kwa kweli. Ulichosema ni kweli kabisa. Hakuna binadami aliye timilifu. Na cha muhimu zaidi ni kuvumiliana. Mimi kuvumilia na kujifunza kuyakubali mapungufu ya mwenzangu na yeye kufanya vivyo hivyo. Kwa kufanya hivi tutakuwa tunajenga msingi mzuri na imara wa mahusiano yetu.
   
 9. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,515
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Msichana huyu cc humuita kicheche!!
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwani wewe nani? mungu?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 41,989
  Likes Received: 37,283
  Trophy Points: 280
  mi nina majungu
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  uncle plz niambie ww kama mwanaume hupengi mwanamme mwenye tabia zipi?
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  thats my shemeji hebu ona mapointi unavyoyamwaga......hapo!!! mwenzenu am so proud of you my shemejiz na nafurahi kujiunga na ukoo wenu lol!!!

  kwenye bold umenikosha kweli kweli!! ni kweli kwenye mahusiano pia lazima kila mmjoja ata-sacrifice mambo fulani fulani ili tu kujenga mahusiano imara na kudumu na mwenzi wako.
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 41,989
  Likes Received: 37,283
  Trophy Points: 280
  kila mtu ana tabia zake ambazo sio nzuri, lakini kwa bahati mbaya tumekuwa wagumu kuziona. Kwa hiyo mtu mwingine ndiye anayeziona tabia zetu. Binafsi sipendi mwanaume mwenye kugeuza geuza maneno, mchonganishi, mwenye majungu na wale wanaume wanaojiona wana utukufu wa kike.. siwapendi kabisa.
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  utukufu wa kike ni upi huo??
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 41,989
  Likes Received: 37,283
  Trophy Points: 280
  mashosti
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,468
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ndio nini? Una maanisha mashoga (gay)?
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 41,989
  Likes Received: 37,283
  Trophy Points: 280
  haswaaa
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,969
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  bujibuji kiswahili chake bwana....
   
 20. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 459
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Kama unatafuta mchumba umekosa mzee! Hizo quality zako ni za malaika!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...