Sipendi kuvaa suti, tai wala kuchomekea


Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
790
Likes
551
Points
180
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2014
790 551 180
Kuna uzi mmoja jamaa.aliuliza kwa nin uswahilin watu wanapenda kuvaa jezi sijui kama itakua.inaendana na hii mada
 
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
790
Likes
551
Points
180
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2014
790 551 180
Kutokana hili jukwaa lipo baada ya miaka kumi utarudi kusahihisha hii.mada hata sisi tulitoka huko sasa hivi hata ukikutana na yule mwalim aliokua anakukanya unampa.10K akanywe mirinda nyeusi
 
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
821
Likes
570
Points
180
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
821 570 180
Si tatizo lako:

- Aina ya malezi
- Shule uliosoma
- Marafiki wanaokuzunguka
- Dini yako (dini inamchango mkubwa kwenye aina ya mavazi unayovaa)
- Personality
- Aina ya mke/girlfriend/mchumba
- Kazi yako
- Hobby i.e mpira, movie, kusafiri, kuparty (mfano mara nyingi wapenda mpira sana sio watu smart kwa muonekano wa mavazi kwa maana ya kuchomekea na suti, namaanisha wachezaji sio mashabiki)

Usijilaumu, hivyo vyote hapo juu vinachangia kwa asilimia 90 muonekano wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wanakuwa na uniform ya suti tena wakivaa wanapendeza sana.
 
Mwamba1961

Mwamba1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Messages
233
Likes
98
Points
45
Mwamba1961

Mwamba1961

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2016
233 98 45
Si tatizo lako:

- Aina ya malezi
- Shule uliosoma
- Marafiki wanaokuzunguka
- Dini yako (dini inamchango mkubwa kwenye aina ya mavazi unayovaa)
- Personality
- Aina ya mke/girlfriend/mchumba
- Kazi yako
- Hobby i.e mpira, movie, kusafiri, kuparty (mfano mara nyingi wapenda mpira sana sio watu smart kwa muonekano wa mavazi kwa maana ya kuchomekea na suti, namaanisha wachezaji sio mashabiki)

Usijilaumu, hivyo vyote hapo juu vinachangia kwa asilimia 90 muonekano wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Kuna ukweli hapo kwa baadhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
4,960
Likes
4,819
Points
280
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
4,960 4,819 280
Huna hela
Huna kazi maalum
Mwili haujakaa kisuti sasa suti uvae ya Nini.. suit yenyewe haijakuchagua
 

Forum statistics

Threads 1,262,348
Members 485,558
Posts 30,120,860