Sipendi kuvaa suti, tai wala kuchomekea


chama2chawa

chama2chawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
645
Likes
195
Points
60
chama2chawa

chama2chawa

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
645 195 60
kuvaa suti au tai sijawahi taman hatawakati nasoma nilikuwa naivua tai Mara kwa mara baada tu ya kutawanyika kaingia mabwenini.
 
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
1,283
Likes
1,713
Points
280
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
1,283 1,713 280
Tai umeshaivaa hapo chini unataka uvae nyongine ya nini tena???
 
roservelt

roservelt

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
956
Likes
868
Points
180
Age
25
roservelt

roservelt

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
956 868 180
Aisee..mi kuchomekea hua siwi confortable kabisa...though hua najitahidi kwenye matukio muhimu ndo nachomekea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,344
Likes
2,658
Points
280
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,344 2,658 280
Si tatizo lako:

- Aina ya malezi
- Shule uliosoma
- Marafiki wanaokuzunguka
- Dini yako (dini inamchango mkubwa kwenye aina ya mavazi unayovaa)
- Personality
- Aina ya mke/girlfriend/mchumba
- Kazi yako
- Hobby i.e mpira, movie, kusafiri, kuparty (mfano mara nyingi wapenda mpira sana sio watu smart kwa muonekano wa mavazi kwa maana ya kuchomekea na suti, namaanisha wachezaji sio mashabiki)

Usijilaumu, hivyo vyote hapo juu vinachangia kwa asilimia 90 muonekano wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J putin

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Messages
1,307
Likes
1,134
Points
280
J putin

J putin

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2018
1,307 1,134 280
Sema tu mkuu suti zina bei,mi napenda kuvaa sana,

Ila kuchomekea sipendi utanikuta nimevaa vzr nguo za kuchomekea ila sichomekei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

Broken English

Senior Member
Joined
Dec 23, 2018
Messages
115
Likes
121
Points
60
B

Broken English

Senior Member
Joined Dec 23, 2018
115 121 60
You goin me back in my ol' school days when taken in shirt was like punishment to me hahahahaa.

But that was then,not today.
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,548
Likes
29,341
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,548 29,341 280
Hahaha ..zamani nilikuwa na mtazamo kama wa mtoa mada lakini baada ya kuwa mtu mzima ...sasa hivi nisipo chomokea huwa sijihisi kama nina onekana mstaarabu
Suti zina watu wake, sasa mtu mfupi una macho mekundu na rangi nyeusi ukivaa suti si utaonekana kama kibatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,499
Members 481,371
Posts 29,735,750