Sipendi kusoma threads ambazo headings zake zina maneni, HIV,AIDS na UKIMWI

nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
521
Nina sababu yakutopenda threads zenye maneno hayo, si kwamba sipendi vita dhidi ya ukimwi bali mada za namna hii hutinesha vidonda kwa wapendwa wetu ambao kwa namna moja au nyingine janga hili limeshawagusa.

Kwa takwimu tu kati ya watanzania 16 Mmoja anaweza kuwa ameathirika,

Ukiweka threads yenye maneno hayo ikatazamwa na watu zaidi ya 200 Kati yao kuna waathirika pia na wale wanaowahudumia wapendwa wao, wengi utakuwa umewatonesha vidonda vya machungu ya janga hili.

Lakini naungana na Watanzania wenzangu kuendelea kuisapoti vita dhidi ya maambukizi ya VVU.
 
Mkuu mimi nikiona hayo maneno nashtuka shtuka sana nimeuza mechi kupita maelezo, Sina hata raha.
 
Mi nadhan sio kua hupendi tuuu.....naamin km nisuala LA kushauri kuonya nilazima maneno hayo yatumike.

Haiwezekan kwasababu hupendi basi eti HIV /AIDS /VVU/UKIMWI ...eti tuyatafutie majina ya kuficha ficha.


Kama itakua ivo basi tuyaite hata magonjwa ivi
Malaria- Biskuti.

Kisonono--- pipi

Kaswende- asali .

Watu wengi wanaoogopa haya maneno Mara nyingi niwale wanaofanya ngono Ovyooooo wanamadem kibaooooooo wanawanaume kibaooooooooo.
 
Mi napenda ndo mana lile tangazo la the free HIV generation it begins with you nilikuwa nalipenda saaana
 
Back
Top Bottom