Sipendi kulala guest;

I always travel from southern to north-western region of Tanzania. I have been struggling kupata sehemu nzuri ya kulala Dodoma. Kuna siku nusu nusu ini-cost vilivyo.. Niliamua kuvuka level za lodge, nikaamua nikalale tu hotelini. Nikaangukia Mo**na hotel. Wale jamaa one person single room ni 150+, mtu zaidi ya moja ni 170+. Me nimefika jioni sana and nahitaji alfajiri niendelee na safari. Ikabidi tu nirudi kwa ma-lodge uswahilini.
Kuna mtu aliniambia Dodoma ni mojawapo ya sehemu zenye lodge nyingi nzuri na standard but safari zangu zote huwa najaribu kutafuta lodge tofauti tofauti, sijawahi kubahatika kupata lodge nzuri Dom.
Next month ntajaribu kulala moja ya hizi nione.
Hutajuta mkuu, na ninaamini utaleta ushuhuda humu kwenye uzi huu.
 
Dodoma hovyo kabisa kwenye Guest House au Lodge Yaani unaonyeshwa room ya 20k au 25k utachoka mwenyewe.Hata breakfast hakuna ni kulala tuu.Maji utaletewa kwenye Ndoo (anachemsha pembeni huko)
mwetu tata Gentamycine; olanntuka hano hano na omkali wane alalola ?

tiga nize mura.
 
I always travel from southern to north-western region of Tanzania. I have been struggling kupata sehemu nzuri ya kulala Dodoma. Kuna siku nusu nusu ini-cost vilivyo.. Niliamua kuvuka level za lodge, nikaamua nikalale tu hotelini. Nikaangukia Mo**na hotel. Wale jamaa one person single room ni 150+, mtu zaidi ya moja ni 170+. Me nimefika jioni sana and nahitaji alfajiri niendelee na safari. Ikabidi tu nirudi kwa ma-lodge uswahilini.
Kuna mtu aliniambia Dodoma ni mojawapo ya sehemu zenye lodge nyingi nzuri na standard but safari zangu zote huwa najaribu kutafuta lodge tofauti tofauti, sijawahi kubahatika kupata lodge nzuri Dom.
Next month ntajaribu kulala moja ya hizi nione.
una bahati mbaya tu...nzuri.zipo ila. hangamoto kuzipata..nimelala mara kadhaa dom....sijaona hichi mnachosema...tafuta japanies lodge bei poa ipo poa..nenda nkuhungu gesti nyingi bei poa..tahadhari siku za bunge au graduation na vikao vya serikali...utapata tabu sana..zote booked
 
Msimbeze tu mtoa mada....suala la usafi kwa lodge nyingi ni changamoto.
Muonekano wa nje unaweza kukuchanganya ingia ndani sasa!! Mi kuna lodge kibao nimewahi ondoka asubuhi bila kuoga kisa hakuna maji!
 
Acha unafiki, Kwa tanzania hii ukiondoa Mwanza, Dar na Moro sehem yenye guest house nzur na safi ni Dom tena za bei nafuu. Nenda Nkuhungu karibu na four ways Ingia Ulanga vyumba 20k+ bf. Au jirani ipo nyingine wanaita Rhino to mention few.
Jirani na ulanga kuna forever living kitu Kama hicho. Ukibargain wanakufanyia 15.
 
I always travel from southern to north-western region of Tanzania. I have been struggling kupata sehemu nzuri ya kulala Dodoma. Kuna siku nusu nusu ini-cost vilivyo.. Niliamua kuvuka level za lodge, nikaamua nikalale tu hotelini. Nikaangukia Mo**na hotel. Wale jamaa one person single room ni 150+, mtu zaidi ya moja ni 170+. Me nimefika jioni sana and nahitaji alfajiri niendelee na safari. Ikabidi tu nirudi kwa ma-lodge uswahilini.
Kuna mtu aliniambia Dodoma ni mojawapo ya sehemu zenye lodge nyingi nzuri na standard but safari zangu zote huwa najaribu kutafuta lodge tofauti tofauti, sijawahi kubahatika kupata lodge nzuri Dom.
Next month ntajaribu kulala moja ya hizi nione.
Morena hotel.... gest za mjini ndio chafu ukitak lodge nzuri anzia area c na nkuhungu
 
Acha unafiki, Kwa tanzania hii ukiondoa Mwanza, Dar na Moro sehem yenye guest house nzur na safi ni Dom tena za bei nafuu. Nenda Nkuhungu karibu na four ways Ingia Ulanga vyumba 20k+ bf. Au jirani ipo nyingine wanaita Rhino to mention few.
Mkuu tujuane we ni wa dom
 
Uo ni uongo nimekaa dodoma miaka 8 hakuna sehemu kuna lodge kali kama dodoma...usikute umeenda chaduru uko au chang`ombe kwenye gesti za 5000 ukaichafua dom nzima
 
wana forum, nina week moja sasa hapa jijini dodoma, kuna mafunzo flani hivi yanafanyika hapa milembe hospitali.

changamoto ni sehemu ya kulala wakuu, nimezungukia guest za hapa karibu nimeonyeshwa vyumba vyao ,

mmmmmmh, kweli ni wachafu ! bei zao sasa ndo utachoka elfu 20 per dai.

nikapata nyingine ambayo ni angalu wana jitahidi usafi kwa shilingi elfu 30.

asalaleeeeeee kuingia ndani hakuna maji , huduma mbovu,

daaaaaah. kwa mazingira haya sitaki kulala tena guest.

Ombi; nyie mnao miliki haya ma guest house himizeni wafanyakazi wenu kuwa wasafi hata kwa kiwango cha kokoto.

asante.

MIMI
Mkuu ni kweli Dom kuna guest zimechoka ila kali zipo. Pembeni ya hapo Mirembe (Kikuyu) kuna guest moja mpya mpya. Bado haijawa na wateja wengi. Suma Lodge. Pazuri halafu pasafi sana. Wana huduma nzuri. Very cheap (nadhani wanavutia wateja). Unatembea tu hadi Mirembe.
 
asante sana kaka; ngoja nizitafute hizo ulizo niambia;

nimelala pale Top ***** elfu 30 .bafuni hakuna maji ikanilazimu kuoga maji ya kopo lita moja na nusu.

kidogo niwambie nirudishieni hela zangu si kwa ushenzi huu;
 
Mkuu tujuane we ni wa dom
Hapana mkuu, nie ni mkazi wa dar, ila nipo kwenye civil construction kwa miaka 20 sasa. Dodoma nimejenga MSD Warehouses kule kizota 2012-2013. Tangu hapo nimekuwa nikija dom kwa vipindi tofauti, haswa kunapokuwa na mikutano ya kada yetu kwenye ukumbi wa kikwete.
 
Mkuu tema mate chini usitafute laana bure umeshidwaje kupanda haice ya jero ukalale george town
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom