Sipendi kuamini lakini ndivyo ilivyo kwa mh. Kikwete

mngejua mnavyoniudhi kwa kumpa E.L promo isiyokuwa na mashiko ! walah huyo mtoa promo angepita mbele yangu hakika ningemtupia jiwe la utosi
 
"OMBWE LA UONGOZI LINAITAFUNA TANZANIA BARA" Sijui ndani ya miaka mitatu ijayo hali itakuwaje.
 
jk alitumia rasilimali nyingi sana kujiandalia njia ya ikulu. Yawezekana alikuwa na nia njema katika kuleta maendelea ila nguvu aliyotumia ndio inamuathiri hadi kesho. Same applies kwa lowassa. Na huyu atakuwa janga kuliko kikwete
 
Back
Top Bottom