Sipendi bold | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipendi bold

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amoeba, Apr 19, 2010.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Habari ya usubuh wahishimiwa,
  Hizi post zinazokuwa zimepigwa bold mwili mzima wakati ni habari ndefu mimi binafsi sizipendelei kabisa! naona kama mwandishi anakuwa analazimisha watu kuiona post yake!
  ni sawa na kuandika barua kwa herufi kubwa, itaonekana kama unaongea kwa kelele vile!
  sijui wenzangu, ila mimi ndiyo naona hivyo.
  Natanguliza samahani zangu. lol
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Umeona wapi?
  Weka link tuongee substance, sio myth!
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  unataka kusema hujapata kuona?......au...?
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Blue monday
   
 5. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo wewe umeweka rangi NYEKUNDU ili kuwalazimisha watu wasome hiyo post yako????????????
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  lol
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mimi nimeongelea bold ya habari nzima, au hujanisoma?
   
Loading...