Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Binti huyu tulifahamiana tangu tukiwa o level.
Tukawa marafiki wa kukutanisha viungo vya uzazi.
Akaendelea na high skul na mimi nikaenda kusoma chuo cha ufundi Mbeya MTC.
Nikapata bahati ya kwenda kusoma Canada na baada ya miaka mingi, nimerudi nchini na sasa tuko kwenye harakati za kufunga ndoa.
Kinachonitatiza huyu mndani wangu tukianza tu foreplay lazima jack daniels iwepo jirani na huwa anainywa kwa kufakamia, mpaka tunaanza mchezo mwenzangu huwa yuko hoi kwa ulevi.
Nimejaribu kuongea nae na tukajaribisha kufanya akisa soba, anasema hainjoi kabisa.
Je nitamsaidiaje?