Sipati unyumba hadi alewe chakari

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,787
2,000
Binti huyu tulifahamiana tangu tukiwa o level.
Tukawa marafiki wa kukutanisha viungo vya uzazi.
Akaendelea na high skul na mimi nikaenda kusoma chuo cha ufundi Mbeya MTC.
Nikapata bahati ya kwenda kusoma Canada na baada ya miaka mingi, nimerudi nchini na sasa tuko kwenye harakati za kufunga ndoa.
Kinachonitatiza huyu mndani wangu tukianza tu foreplay lazima jack daniels iwepo jirani na huwa anainywa kwa kufakamia, mpaka tunaanza mchezo mwenzangu huwa yuko hoi kwa ulevi.
Nimejaribu kuongea nae na tukajaribisha kufanya akisa soba, anasema hainjoi kabisa.
Je nitamsaidiaje?
 
bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,966

nnasikia kiu. umenikumbusha mbali.
 
Anderson

Member
Oct 20, 2010
5
0
Pole mkubwa!
Nafikir huyo binti hana medical problem inayompelekea kuwa hivyo, nachokiona mimi ni saikological problem, she has set her brain in that perspective hivyo na mwili wake unarespond accordingly. Mi niliwahi zoea na kupenda sana kuwa tungi kabla ya sex, mpaka ikafika hatua nikahisi bila kuwa tungi siwezi kucheza game. Baadae nikaona huu ushenzi nafanya nikaacha na alikuharibika neno lolote. Huyo dada jaribu tu kumfanyia cauncelling au mtu mwingine hamfanyie, akiweza badiri fikira zake juu ya hilo pia hata hisia za mwili wake zitabadirika, naomba kuwakilisha
 
Fab

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
763
0
jaribu kuwa karibu naye, kuwa marafiki naye,akuzoee...nahisi pengine anakuonea aibu...kuziondoa ndio anadhani akinywa pombe zinaondoka...
msifie umpe maconfidence kila mara....labda hajiamini.
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
0
mpe gongo kabisa...m kidng bwana
kajitune ivo.....zungumza nae yataisha....pole lakin....
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
2,000
Kwanini umesema hivyo mpwa?

Nimeshakutana na kesi za aina hiyo kama tatu na zikawa hivyo, na za kusikia ndio hazihesabiki mara nyingi watu wa hivyo huwa wanakuwa na nyota zinazoshabihiana na uchawi hivyo kama bado hajabeba mikoba iko siku lazima atakabidhiwa tu.
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
0
Binti huyu tulifahamiana tangu tukiwa o level.
Tukawa marafiki wa kukutanisha viungo vya uzazi.
Akaendelea na high skul na mimi nikaenda kusoma chuo cha ufundi Mbeya MTC.
Nikapata bahati ya kwenda kusoma Canada na baada ya miaka mingi, nimerudi nchini na sasa tuko kwenye harakati za kufunga ndoa.
Kinachonitatiza huyu mndani wangu tukianza tu foreplay lazima jack daniels iwepo jirani na huwa anainywa kwa kufakamia, mpaka tunaanza mchezo mwenzangu huwa yuko hoi kwa ulevi.
Nimejaribu kuongea nae na tukajaribisha kufanya akisa soba, anasema hainjoi kabisa.
Je nitamsaidiaje?

Sin auhakika sana na maeneo uliyopo lakini kama unaweza kupata wataalam wa Saikolojia unaweza kumsaidia kwa kumpeleka.

Inaweza kuwa inassababishwa na avoidant personality disorder (emotional anorexia) ambayo inamfanya asiwe confident and relaxed wakati mnakaribia kwenye shughuli yenyewe.

Waweza soma hapa kwa msaada wa waliopitia hali kama yako

http://www.telegraph.co.uk/news/new...-they-lack-the-confidence-to-do-it-sober.html

Why do people like to drink alcohol before sex? - Yahoo! Answers

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
mhhh kazi ipo..nakumbuka Martins nikiwa na Nyanzala wangu..hahaaa kazi ipo mwaka huu
 
Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,147
2,000
Huyo atakuwa ni mchawi tu,na kama sio mchawi basi ujue fika akizeeka lazima atakuwa mchawi.

Wakati mwingine hapa JF si mahali pa kuomba ushauri juu ya mambo ambayo ni sensitive sana. Kama wewe unampenda mke wako fanya uamuzi wako binafsi, maana ndani ya ndoa hakuna mwanaJF atakayekuja kukupa kampani hapo utakapokuwa unakula joto ya jiwe au unaenjoy kama paradiso. Kuna ushauri kama wa akina Paka mweusi, kama una roho nyepesi unaweza kuacha mke ambaye unampenda, na baadaye utakuja juta. Fanya maamuzi yako binafsi, kwa kuzingatia kwamba tayari unafahamu hiyo shida aliyonayo.
 
Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
1,195
Binti huyu tulifahamiana tangu tukiwa o level.
Tukawa marafiki wa kukutanisha viungo vya uzazi.
Akaendelea na high skul na mimi nikaenda kusoma chuo cha ufundi Mbeya MTC.
Nikapata bahati ya kwenda kusoma Canada na baada ya miaka mingi, nimerudi nchini na sasa tuko kwenye harakati za kufunga ndoa.
Kinachonitatiza huyu mndani wangu tukianza tu foreplay lazima jack daniels iwepo jirani na huwa anainywa kwa kufakamia, mpaka tunaanza mchezo mwenzangu huwa yuko hoi kwa ulevi.
Nimejaribu kuongea nae na tukajaribisha kufanya akisa soba, anasema hainjoi kabisa.
Je nitamsaidiaje?Kaka uajua waafrika baadhi yetu suala hili jua tunalitafsiri kua negative sana. Kisaikolojia huyo mama kutakua na vitu flan ambavyo hua anakosa uthubutu wa kuvifanya akiiwa soba ila akilewa ankua na konfo za kufanya. Kukupa stlyles flan, kukwambia maneno flani au miguno flanthough hii hua nia automatic kama kweli ogazm ni real). So kwa yeye pombe inmpa konfo za kufanya vile anavyotaka.

Cha kufanya hpo ni umweke wazi kumjengea hali ya kuona kua hyo ni need yenu ya msingi kama wapenzi, na vile anavyopenda anpaswa aseme bila aibu au woga.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom