Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Kaka angu ni hyo hyo si unajua ngeli ni tatizo hasa vifupisho
hahah. kweli dada angu hizi internet slang huwa ukikutana nayo mara ya kwanza lazma isumbue

nakumbuka kipindi cha "tbt" ndiyo imeingia mimi nilifikiri inamaanisha tabata sasa nikawa najiuliza tuseme tabata pamekuwa maarufu hivi hadi kila mtu anapost yupo tabata....

nilivyoona hadi watu wa mbele wanatumia ndio nikagoogle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah. kweli dada angu hizi internet slang huwa ukikutana nayo mara ya kwanza lazma isumbue

nakumbuka kipindi cha "tbt" ndiyo imeingia mimi nilifikiri inamaanisha tabata sasa nikawa najiuliza tuseme tabata pamekuwa maarufu hivi hadi kila mtu anapost yupo tabata....

nilivyoona hadi watu wa mbele wanatumia ndio nikagoogle

Sent using Jamii Forums mobile app
tabata...me nilijiongeza tu kwenye hyo tbt, siku moja kaka angu ananiuliza tbt ndo nn nilicheka sana nkasema kumbe washamba tupo wengi
 
MB Dog anaimbaimba kaswida kisha anataka watoto wazuri. Hizo Bongo fleva zenu kama huna hela utaishia kuchukua kina Mwanajuma ndala ndefu tu.
 
KUNA MAKUNDI YAFUATAYO MKUU HUTAKIWI KUYAAMINI UKIWA HAI.

1. WANASIASA-USIWAAMINI HATA KIDOGO MKUU WANAJALIMATUMBO YAO NA YAFAMILIA ZILIZO KARIBU NAO. MFANO = NASARI

2. WASANII-HAWA WAPO RADHI KUDHALILIKA ILIMRADI KUPATA UMAARUFU MFANO=AMABA RUTY, NAHAPA INCLUDE HII MADA YAKO. HUENDA HUYO NAZI MSUMARI ALIMLIPA PESA MB DOG ILIAMUIMBE ILI JINA LAKE LIWEJUU THE SAME TO YOU, HUENDA UMELIPWA KUTULETEA HII MADA YAKO HAPA.

3. DALALI-USIMUAMINI DALALI HATA ONE DAY.

4. MCHEPUKO
Uko sawa kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro

Hate is just a feeling like any other mzee,kama wewe unavyompenda mimi namchukia the other side!

Sijui kwanini watu wana phobia na neno HATE?As if mtu hurusiwi ku-hate!!

Naakaya ni sibling wake ndio maana I brought her up,I like her more...

So,fvck it,I hate fake motherfuckers like this sneaky bitch...

I hate that sleazy slot just for the fvck of it...

Dont get twisted,sina sijui some personal feelings or such and such smell towards the bitch
Okay. Why do you hate her?

There must be something ugly that she did and it did not please you.

Or you just hate her free of charge? Lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom