Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Siku moja Obama na mkewe walikwenda kwenye mgahawa kupata chakula, wakiwa hapo wanakula huku wanapiga stori. Mke wa Obama akamwambia mumewe, "mwenye mghawa huu alikuwa mchumba wangu" Obama akamjibu "kwa hiyo sasa wewe ungekuwa mke wa muuza mgahawa" Michelle akamjibu "hapana, ningekuwa mke wa rais"

Maana ake, kuna watu wamemiliki utajiri ambao zaidi ya 75% ya marifa yaliyo uleta yanatoka kwa wake zao.
Duh
 
Hahahhahaa
Kama kweli we ni muhenga unamjua Sumbi na Bocha?
Hahahahaaaaaaaaa, hapa umempata maana hao jamaa hata akiwagoogle hapati results za kueleweka..ni wakongwe tu ndo tunawapata hao wakongwe kwenye tathnia ya bongo movie...😂.mkuu umenikumbusha mbali sana yani, hawa jamaa cjui walipotelea wapi aise
 
1. Inamana
2. Mapenzi kitu gani
3. Si ulinambia
4. Sagaplasha
5. Natamani
Huyu jamaa yuko wapi aseeh unafiki mbaya alikua anajua
 
1. Inamana
2. Mapenzi kitu gani
3. Si ulinambia
4. Sagaplasha
5. Natamani
Huyu jamaa yuko wapi aseeh unafiki mbaya alikua anajua
Sanaa, wadada wamekili sana humu JF kumpenda enzi zake, hata yeye kuna wimbo amesema hayo
nikirudi kwenye swali lako, jamaa yupo bana hapo Dar ila anadai aliumwaga sana koo sababu alilogwa hivo basi akashindwa kuendelea na muziki kwa miaka mingi, ila sasa yupo powa
 
sanaa, wadada wamekili sana humu JF kumpenda enzi zake, hata yeye kuna wimbo amesema hayo
nikirudi kwenye swali lako, jamaa yupo bana hapo Dar ila anadai aliumwaga sana koo sababu alilogwa hivo basi akashindwa kuendelea na muziki kwa miaka mingi, ila sasa yupo powa
Daaah maisha yanaenda kasi sanaaa.....kuna muda maisha sio fair; Madee alokua anaimbishwa chorus kwenye nyimbo za jamaa eti leo ana maisha mazuri kuliko Mb Dog?!!
 
Povu la nini bab!?
Ndio maana nikaanza kwa kusema suala la uzuri is relative thing!depends on someone's angle of interest.
Basi tufaye dada zako ww na girlfrnd wako ndio wazur basi na hao niliowataja woote nao wazur basi ili ufurah
 
Jamaa alihamishia hasira studio,akatoa ngoma kali akazidedicate kwa mrembo.
Mapenzi kitu gani
Latifah
Ina maana
Natamani
 
Usizunguke mbuyu bro.
Itakuwa alimkataa sababu ya ufupi. Jamaa kafupi sana. KalijAribu kuboot height kwa Afro lakini wapi?.

Wanaume wafupi harakati zao kwa mademu huwa kama za pimbi.
Hahaha.. Ila kweli jamaa ni mfupi.halafu binti sumari ni mrefu..wanawake wanatuchukia sana sisi wanaume wafupi
 
Hahaha.. Ila kweli jamaa ni mfupi.halafu binti sumari ni mrefu..wanawake wanatuchukia sana sisi wanaume wafupi
Hahhhaaa kweli kbs yan mwanaume mfupi atafute kigezo zaidi cha kumiliki mwanamke
Pesa
Mapenzi ya kitandani
Umaarufu
Au awe na sura nzuri
 
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.

Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.

Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.

Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.

Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".

Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.

Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?

Shubaamita!




Sent using Jamii Forums mobile app
Bora Bi. Mkubwa hakujichanganya kwa msela. Angekua kachakaa balaa na Ngwengwe juu
 
Back
Top Bottom