haya mambo yalikuwa
zamani bwana mambo sikuhizi yamebadilika ,hiki kizazi cha .com hakimind
sana mambo haya
wanaenda kutambikia mizimu hao hamna lolote
Wewe ndio huna lolote..mbona marekani wana halowings na thanks giving (yote matambiko) lakini kwa sababu wanafanya wamarekani (na tayari hapa nchini mshaanza kuiga) inaonekana ni best! Len me tel u smtng hata wa Israel kuna dini na mila wanazozitumikia that y are strong, hao wachagga wanawaheshi mababu na uzao wao thts why are strong! Akili za mzungu changanya na zako usiwe mweupe ivyo