Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,720
- 21,778
- Thread starter
- #21
mkuu mi nimepiga azania boys 6 years na wale wote wanaopata maziro form six pale ni wageni waliotoka shule zenye mazingira tofauti na a.s.s; pili asikudanganye mtu ukiacha 1998 pepa za mara ya kwanza zilivuja zikarudiwa early 1999, miaka yote nilokaa pale ckuwahi kupata/kuona pepa ya kweli. Kuhusu walimu a.s.s hakukuwa na walimu wa kutosha mfano toka naanza form 5 hadi namaliza 6 hatukuwa na mwalimu wa chemistry darasani; zaidi tulikuwa tunasoma tuition kwa maku maku, practical za physics tunafanyia pugu sec kwa malipo ya 1000/ day. nasema dogo mshamba kwa kuwa anawatisha wenzake, kusoma sio jela unaweza ukaangalia movies, tv,facebook ukajirusha na at the end uka pass na grade nzuri tu. (azania style)
mkuu sio anawatisha jua usemi wa huyu kijana naamini utawaelimisha hata wale watoto wa udsm na vyuo vingine wanaoshindana na watu walio maofisini wameuziwa wana relax na jf ..kuna watu sikatai waweza faulu hata ukiwa unaenda club ndio maana sishangai kuna bwabwa moja hapo jangwani 1999 liliwakimbiza kweli kweli ila anachosema ni kweli usiweke mazingira watoto wakajazana jf/facebook na kucha kusoma wengi wao wanathirika sababu wanatumia muda wao mwingi kwenye mitandao siku ya pepa mod anakula castlelight pale breakpoint huku didy akituma ya pili na tatu kummaliza kabisa
so ni vyema wanafunzi aijalishi sec /chuoni achaneni na kushinda kwenye mitandao mi kuna sehemu pale mwenge cafe inajazana watoto wa kike kwa kiume wadogo wengine wana sare zao ukisikiliza mazungumzo yao utajua huyu mtoto kwa nini ataki mwingine analazimisha tumtumie request huyu aisee so handasome wewew eeeeee unapenda facebook bora uje jf utakutana na wapendanao huko mijianaume mingi inatumia picha za kike utampenda mwanaume mwenzio mje kudai mmebakwa