Sioni uhusiano uliopo kati ya madaktari waliozuiwa kwenda Kenya tu na kupatiwa ajira Tanzania

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,428
13,936
Madaktari wanaosubiri ajira Tanzania tunao wengi kwanini ajira iwe tu kwa waliozuiwa kwenda Kenya?
 
Kw
Madaktari wanaosubiri ajira Tanzania tunao wengi kwanini ajira iwe tu kwa waliozuiwa kwenda Kenya?[/QUOTE
Hii ni Kwa sababu Rais wetu anaongoza nchi kwa ubaguzi Na kupenda watu kujikomba kwake hivyo kutumia Ajira Kama rushwa. T
 
Back
Top Bottom