Sioni tofauti kati ya serikali na wabunge CCM

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Serikali inafanya mambo kila mtu anaona. wabunge wa CCM nao eti wanalalamika refer mbunge wa Morogoro na Mwenyekiti wa Kamati aliyetembelea kule baharini. Baada ya Rais Magufuli, CCM hakuna kuargue ni ndio mzee na ukibisha utakiona cha mtema kuni.

Sioni tofauti kati ya serikali na wabunge wa CCM kwani kama serikali ikileta mswada wowote hata uwe mbovu lazima upite ikiwa serikali imedhamiria lazima upite so kazi ya bunge imeachiwa kambi rasmi ya upinzani.
 
Mlingwa amtumbua Magufuli Bungeni
Mbunge wa Ulanga Mashariki Goodluck Mlingwa amempa ukweli Magufuli kwamba alipo bana aachie hali nimbaya , akichangia mswada wa sheria ya mwaka 2016 Bungeni tarehe 7 amesema wafanyabisahara hawafanyi biashara Fedha hakuna Mzunguko ni mdogo hali inayo fanya maisha yawe magumu
 
hivi,mnaposema amemtumbua huwa mnamaanisha nini?huyo kada kazunguka mbuyu wala hakulenga kusimamia anachokiamini....tuwe tunajaribu kufanya uchakataji mzuri wa habari,sio ushabiki tu kila kona.
 
Back
Top Bottom