Sioni tofauti kati ya Lowassa na Magufuli!

aec523f08417fe56c3ff5f5eb51baeff.jpg
Magufuli na Lowasa
Indeed! Birds of a feather flock together
 
Dah.... Post za sampuli hii huwa zinanichosha sana kwa nyakati hizi tulizonazo
 
So Lowassa is damaged goods?

Ambacho ningewashauri Cdm, ambacho of course ni kwa maslahi mapana ya demokrasia nchini, waangalie mtu mwingine mbali ya Lowassa kwa uchaguzi wa 2020. Lakini hata hivyo ili Cdm ipate hati safi kama chama kinachoendeshwa kwa misingi ya kimokrasia, ni lazima mchakato wa kumpata mpeperusha bendera yake uwe wa uwazi; na ushindanishe wagombea kwa hoja na kwa maono yao kwa nchi na kusiwepo kabisa ujanjaujnaja au njia za mkato. Sidhani kama Lowassa ataweza kupita hicho kichujo.
 
Kama Tundu?
 
Nakubaliana nawe kwamba Lowassa ihama chama kuyatafuta madaraka tu na si kupinga uozo wowote ule, kwani hata akitamka ufisadi huwa anapata kigugumizi ila huyo mwingine ni mnafiki haswa!
 
Chadema kilikuwa chama cha siasa kizuri wakati wa katibu mkuu Dr Slaa. Alitembea kila kona ya Tanzania ili kukijenga chama na alikuwa msemaji mzuri wa chama. Kuondoka kwa Dr Slaa chama cha Chadema kimekosa mwelekeo. Viongozi waandamizi wa Chadema walitaka kutumia brand ya jina la Lowassa kushinda uchaguzi mkuu 2015 kwahiyo hawakuweka itikadi na maslahi ya chama kwanza. Aliyekuwa mgombea urais Juma Haji Duni baada ya uchaguzi aliondoka kurudi CUF.
CCM kwasasa inatumia Iliyokuwa manifesto ya Dr Slaa wakati alipokuwa katibu mkuu Chadema, uchaguzi mkuu wa 2020 Chadema itashindwa vibaya na hata wabunge wa Chadema wengi hawatarudi bungeni kwani CCM wanafanya matayarisho makubwa ya kupata vijana na wasomi kuchukua nafasi ya hawa viongozi wa sasa.
 
Back
Top Bottom