Sioni Tanzania ya viwanda, vitisho na ubabe umetamalaki

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
13,807
2,000
Heshima kwenu wanajamvi,

Napenda kuwashukuru nakuwatakia heri ya Krismass na Mwaka Mpya.Nimatumaini yangu wengi wetu Mungu atatujalia kuona Mwaka Mpya na kujiwekea mipango na mikakati mbali mbali kuanzia maendeleo ya kiuchumi,kijamii,kisiasa na nk.

Wakati bado tunatafakari mwelekeo ya serekali ya awamu ya tano ambayo iliingia na kauli mbiu "Hapa kazi tu".Ikibeba ujumbe mzito wa Tanzania ya viwanda nimejikita nikitafakari mambo kadhaa bila kupata majibu sahihi.

Mosi,Tanzania ya viwanda nilifikiri tungepitia upya sheria na taratibu zinazokwaza ukuaji wa sekta ya viwanda.Kubwa kuliko yote ni gharama za nishati ya umeme,kuongeza mara dufu kiwango cha uzalishaji wa umeme wa gharama nafuu.Bila kushusha gharama za umeme hakuna mwekezaji atakayekuja kuwekeza Tanzania.Nadhani wote tuliona na kusikia jinsi Dangote alivyokwazwa na ukubwa wa gharama zetu za umeme.

Pili,yapo matukio ambayo yanawatisha wawekezaji hasa kutoka nje ya nchi.Ukitazama takwimu Tanzania inaongoza EA kwa uwekezaji kutoka nje lakini ukienda mbali zaidi utakuta uwekezaji mkubwa upo katika sekta ya gesi,kwanini isiwe viwanda vya kusindika nyama na matunda ?.Kwanini isiwe ujenzi wa viwanda vikubwa vya uzalishaji wa sukari na nk.Matukio ya kisiasa hasa hili suala la kukamata wanasiasa hovyo hovyo linatisha sana wawekezaji.Uendeshaji wa bunge hasa Naibu Spika unaleta ukakasi mkubwa hasa mataifa mbali mbali yanapoiangazia Tanzania.Ukiukwaji wa haki za binadamu na ukandamizaji wa upatikanaji wa habari si habari njema nje ya Tanzania,tunaweza kumfurahisha mfalme lakini mwisho wa siku Taifa linaumia na kukosa mitaji toka nje ya nchi.

Tatu ukiitazama nchi kama Rwanda majuzi wameweza kuvutia uwekezaji wa mkubwa wa VW,nchi ndogo isiyokuwa na rasilimali kama Tanzania wamewezaje ?.Hakika siasa yao ya nje imejikita katika kuvutia mitaji ya uhakika.Tanzania ya viwanda ipo busy kuweka wapinzania korokoroni,ipo busy kutunga sheria za kukandamiza upatikanaji wa habari,ipo busy kusikia habari inazotaka kusikia.Kenya na Ethiopia wamefanikiwa kuvutia uwekezaji wa viwanda vya magari kutoka Germany na South Korea respectively.

Mwisho ni lazima kutazama upya namna tunavyowekeza rasilimali zetu na si kuwekeza kwa misingi ya kisiasa.Mfano ujenzi wa uwanja wa ndege Geita unaonyesha kuna msukumo wa kisiasa kuliko kiuchumi.Nilitegemea serekali ijenge uwanja mpya mkubwa wa kisasa Mtwara kwasababu ya upatikanaji wa gesi kunako ambatana na shughuli nyingi za uchumi badala ya uwanja unajengwa Geita ?????.

Naomba kuwasilisha.
 
STDVII

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
1,585

VW watafungua Viwanda 2 East Africa? Kenya na Rwanda?
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,605

Kwa hiyo tukusaidiaje labda sasa?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,119
2,000
Muwekezaji gani anataka kuja kuwekeza nchi yenye dikteta uchwara!? Tutawasikia tu wawekezaji wakiwekeza huko kwa majirani zetu. Tusishangae kuanza kusikia maelfu ya Watanzania kuzifuata ajira huko nchi jirani.

Ndugu yangu habari kama hizi kuzisikia Tanzania ni nadra sana,labda utasikia Mkuu wa Wilaya kamweka ndani mwandishi wa habari aliyeandika habari zisizompendeza.Mbunge wa upinzania akataliwa dhamana na mambo yanayofanana na hayo.
 
mashoodjr

JF-Expert Member
Feb 4, 2016
2,204
2,000
Nafikiri kuwa na amani muda mrefu plus mfumo wa siasa za kijamaa zimetufanya tuwe wajinga tunanyanyaswa na vitisho juu tunakubali tu kama mazezeta.
 
chigga2

Senior Member
Mar 22, 2016
191
225
Only fool can think industrialization without stables energy and electric power...is possible under the Sun....even human being if you don't have energy you can't do anything...energy is a source of every thing to develop....just my view
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom