sioni sababu za kuwa na kocha kigeni kwa Taifa stars sasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sioni sababu za kuwa na kocha kigeni kwa Taifa stars sasa.

Discussion in 'Sports' started by The Magnificent, Aug 22, 2011.

 1. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Atleast alipokuwepo maximo impact ilionekana,tukapanda hadi nafasi ya 89,sasa ndo tunazidi kuporomoka siku hadi siku,kwanin tusifundishwe na wazawa kwa kiswahili labda lugha ndo tatizo,hebu waoneni vijana wa julio wanavyofanya vizur somehow inaonekana wanamuelewa mwalimu,kwa udhamini na support iliyonayo stars kwa sasa,hata tukifundishwa na mzalendo tunaweza kupiga hatua,<br />
  Nawasilisha wadau!
   
Loading...