Sioni kosa la OCD wa Hai kumwambia Mbowe kuwa hatomshinda Mgombea wa CCM

Mbowe inabidi aache tabia ya kuprovoke askari polisi. Askari hao wamemlinda tangu kampeni zimeanza. Anatakiwa kuwashukuru kwa kazi nzuri wanayofanya.

Ukimprovoke polisi, anaweza kutumia njia mbalimbali za maneno au nguvu kukuweka kwenye mstari. Kamanda alitumia busara kutumia maneno badala ya nguvu.

Nampongeza kamanda kwa kulinda amani kwenye kipindi hiki fragile cha kampeni.
Ni kwa vile upo hukohuko ila kiukweli OCD kakosea Sana kuonyesha kwamba anatumika na ana maelekezo ya kuhakikisha Mbowe hatashinda.
 
Kama mimi ningekuwa IGP huyu askari ningekuwa nimeshamshusha cheo na kumwondoa kwenye nafasi yake ya OCD. Kwa wakati kama huu, OCD kumwambia mgombea wa chama chochote maneno kama hayo tena wakati huu wa uchaguzi ni makosa yaliyopindukia na kulitia doa kubwa jeshi la polisi
Badala yake atapata promotion
 
Back
Top Bottom