Sioni kosa la Malasusa, labda naona tamaa ya rushwa ndani ya Maaskofu waliobaki

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Tufike maala tuwe wakweli, nimewahi kusema mimi ni muumini sana mzuri wa Lutheran, lakin pia hawa wanaoongoza wana madhaifu yao ya kibinadamu,

Mzee wangu yaan kaka yake baba yangu ni dini yaan level fulani ya uchungani ndani ya Jimbo ambaye yuko juu ya wachungaji ndani ya usharima ninakuwa naye naona madhaifu yake makubwa kama binadamu

Sioni kwanini wako so desperate na malasusa kukataa kusomwa waraka ule,

Wachungaji kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya kutapatapa na waraka,

Zipo nyaraka nyingi za kusoma, za Luka, Mathayo, Warumi, kwanini tukimbilie waraka ulioambatana na ushinikizaji wa siasa na rushwa ndani yake??

Lutheran tunayo mambo mengi ya ku deal nayo badala ya kuhangaika na waraka ni upuuzi wa baadhi ya maaskofu, kuna baadhi ya maaskofu wanatumiwa na wanatumika vibaya,

Malasusa usishangae unaweza kuwa mpango wa Mungu wewe kuupata ulaji ndani ya serikali kama balozi au mtu mwingine ndani ya serikali ya Magufuli,

Mwanaume ni kujisimamia siyo kuyumbishwa,

Mliokula sadaka za rushwa na zaka za watu mkidhani waraka utasaidia mmeula wa chuya

Britannica
 
Watakuja wanaojua kujibu watakujibu utawaelewa lakini mimi naliona kosa la Malasusa katika jambo moja tu nalo ni UWAJIBIKAJI WA PAMOJA! Ukishakuwa kiongozi utafanya mambo unayoyapenda na usiyoyapenda! Kosa lipo hapo!!
 
Kuna kuwajibika kwa pamoja kusiko na manufaa kwa nchi na kanisa kwa ujumla
 
Tufike maala tuwe wakweli, nimewahi kusema mimi ni muumini sana mzuri wa Lutheran, lakin pia hawa wanaoongoza wana madhaifu yao ya kibinadamu,

Mzee wangu yaan kaka yake baba yangu ni dini yaan level fulani ya uchungani ndani ya Jimbo ambaye yuko juu ya wachungaji ndani ya usharima ninakuwa naye naona madhaifu yake makubwa kama binadamu

Sioni kwanini wako so desperate na malasusa kukataa kusomwa waraka ule,

Wachungaji kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya kutapatapa na waraka,

Zipo nyaraka nyingi za kusoma, za Luka, Mathayo, Warumi, kwanini tukimbilie waraka ulioambatana na ushinikizaji wa siasa na rushwa ndani yake??

Lutheran tunayo mambo mengi ya ku deal nayo badala ya kuhangaika na waraka ni upuuzi wa baadhi ya maaskofu, kuna baadhi ya maaskofu wanatumiwa na wanatumika vibaya,

Malasusa usishangae unaweza kuwa mpango wa Mungu wewe kuupata ulaji ndani ya serikali kama balozi au mtu mwingine ndani ya serikali ya Magufuli,

Mwanaume ni kujisimamia siyo kuyumbishwa,

Mliokula sadaka za rushwa na zaka za watu mkidhani waraka utasaidia mmeula wa chuya

Britannica

Kosa lake ni ,,us against him” yaani chadema vs Malasusa!
 
Tufike maala tuwe wakweli, nimewahi kusema mimi ni muumini sana mzuri wa Lutheran, lakin pia hawa wanaoongoza wana madhaifu yao ya kibinadamu,

Labda ukweli ni kwamba Yesu alisema kwa matunda yao mtawajua kama ni wafuasi wangu au la, na kwamba watu watajua nyie ni wafuasi wangu kwa upendo mnaoonyeshana, sio kwa jinsi mnavyogombana. Na Paulo akakumbusha kwamba kanisa la Mungu la kweli linapaswa kufanya kazi kama viungo vya mwili vikitegemeana sio kugombana. Juzi hapa nimesikia waumini wakimfukuza askofu wao kwa mawe huko Sumbawanga!

Sasa kwa huu ugomvi wa kila siku na migogoro haya makanisa kweli yanaonyesha kwamba wao ni wakristo wa kweli?

Ifikie mahali tuone matunda ya hizi dini kulingana na unabii aliotoa Yesu - sio wote waniitao Bwana Bwana...
 
Wakatoliki walisema
Walutheri walisema
Kakobe alisema

Wengine wanapenda kusema lakini wanaogopa! Hawa ndio wabaya zaidi.
 
Labda ukweli ni kwamba Yesu alisema kwa matunda yao mtawajua kama ni wafuasi wangu au la, na kwamba watu watajua nyie ni wafuasi wangu kwa upendo mnaoonyeshana, sio kwa jinsi mnavyogombana. Na Paulo akakumbusha kwamba kanisa la Mungu la kweli linapaswa kufanya kazi kama viungo vya mwili vikitegemeana sio kugombana. Juzi hapa nimesikia waumini wakimfukuza askofu wao kwa mawe huko Sumbawanga!

Sasa kwa huu ugomvi wa kila siku na migogoro haya makanisa kweli yanaonyesha kwamba wao ni wakristo wa kweli?

Ifikie mahali tuone matunda ya hizi dini kulingana na unabii aliotoa Yesu - sio wote waniitao Bwana Bwana...
 
Again and Again
Vita wanavyopigana viongozi wa Dini sio ya Damu na Nyama ni vita nzito za kiroho, Shetani kamwe hawezi kutulia atajaribu kuvuruga.SO TUSALI SANA AU TUCHUNGE ULIMI WETU VITA NI YA MUNGU
 
Huyu mkuu wa kanisa wa sasa ni jamaa wa mbowe sasa anataka kuleta uanaharakati/uchadema huko kkkt. Malasusa yupo sahihi kuukataa waraka huo. Anawaburuza maaskofu
Maaskofu wanaojitambua wanajua ilo
 
Tufike maala tuwe wakweli, nimewahi kusema mimi ni muumini sana mzuri wa Lutheran, lakin pia hawa wanaoongoza wana madhaifu yao ya kibinadamu,

Mzee wangu yaan kaka yake baba yangu ni dini yaan level fulani ya uchungani ndani ya Jimbo ambaye yuko juu ya wachungaji ndani ya usharima ninakuwa naye naona madhaifu yake makubwa kama binadamu

Sioni kwanini wako so desperate na malasusa kukataa kusomwa waraka ule,

Wachungaji kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya kutapatapa na waraka,

Zipo nyaraka nyingi za kusoma, za Luka, Mathayo, Warumi, kwanini tukimbilie waraka ulioambatana na ushinikizaji wa siasa na rushwa ndani yake??

Lutheran tunayo mambo mengi ya ku deal nayo badala ya kuhangaika na waraka ni upuuzi wa baadhi ya maaskofu, kuna baadhi ya maaskofu wanatumiwa na wanatumika vibaya,

Malasusa usishangae unaweza kuwa mpango wa Mungu wewe kuupata ulaji ndani ya serikali kama balozi au mtu mwingine ndani ya serikali ya Magufuli,

Mwanaume ni kujisimamia siyo kuyumbishwa,

Mliokula sadaka za rushwa na zaka za watu mkidhani waraka utasaidia mmeula wa chuya

Britannica

Dini zitawaendesha sana...

Either way,Malasusa is a piece of buffoon!

Lip service provider to the govt!

He's yourz,take him!
 
Umoja ni nguvu, utengano ni idhaifu. Tunaposukuma gari bovu tena lililokwama kwenye tope, tukisema twendweeee watu wote hawanabudi kusukuma
 
Back
Top Bottom