Sioni kama ni sawa "Ignorance of the law excuses no one" huku hakuna mfumo wa kuwaelimisha wananchi

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Kanuni hii ya kisheria wanasheria mtusaidie uhalali wake, maana kwa ukweli sheria nyingi hazifahamiki wala hakuna juhudi za wananchi kufahamishwa wenda wangeweka mwanya kidogo wa watu kutokea au kulainisha adhabu kwa watu wa makundi flani.

Kwa Uzito wa Kanuni hii, Sheria Ilipaswa kufundishwa kuanzia Chekechea,Makanisani,Misikitini na mahala pole kwenye jamii hapo tutakuwa tunawatendea haki tukitumia sentesi hii kumuhukumu Mtu.

Wanasheria na wataalamu wa mambo ya sheria mtusaidie hili huwa mnakubaliana nalo vipi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom