Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,051
- 23,500
sioni sababu za msingi kwa wabunge wa upinzani kuingangania tbc kuonyesha lives matangazo ya bunge kwa sababu zifuatazo;-
Ni tv ya taifa kwa jina tu, lakini kibinafsi sioni watu wengi kupenda kuiangalia.
Ni tv inayohodhiwa mno kichama nashauri irudishwe chamani moja kwa moja.
Aidha busara zitumike kuicha tv hii iwe huru pia itumike kibiashara ipambane kama tv zingine zilizopo kwa kuwekewa uongozi makini,
si busara kukipa ruzuku kila siku hasa kwa kwa chombo ambacho kinauwezo wa kujiendesha kibiashara.
Vyombo kama ATCL NA TBC nivyombo ambavyo kimfumo ni vya kitaifa / lakini ni hekima VIKAACHWA VIJIENDESHE TENA KWA FAIDA KWA KUWEKA WATU WENYE UJUZI NA WANAOFAA.