mkaza vema
Member
- Apr 28, 2013
- 68
- 22
Unitary system of governance inamazuri yake na mabaya yake lakini tuki balance the books federal system will do best kwamfano hakutakuwa na serekari tatu kila regions zita act kama states Including zanzibar nazitakuwa semi autonomous pertaining their laws and regulations lakini kunakuwa pia na serekali kuu ama central government,raisi anakuwa mmoja na wengine wanakuwa ma governors na masenators..kama marekani ilivyo ama brazil.