Sioni haja ya umuhimu wa unitary government wakati federal system can save all..


mkaza vema

mkaza vema

Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
68
Likes
1
Points
13
mkaza vema

mkaza vema

Member
Joined Apr 28, 2013
68 1 13
Unitary system of governance inamazuri yake na mabaya yake lakini tuki balance the books federal system will do best kwamfano hakutakuwa na serekari tatu kila regions zita act kama states Including zanzibar nazitakuwa semi autonomous pertaining their laws and regulations lakini kunakuwa pia na serekali kuu ama central government,raisi anakuwa mmoja na wengine wanakuwa ma governors na masenators..kama marekani ilivyo ama brazil.
 

Forum statistics

Threads 1,273,106
Members 490,295
Posts 30,471,571