Sioni faida ya kuwa na pesa bila mtoto

moses musa

Senior Member
Apr 25, 2017
164
97
How is the morning guys & ladies? I'm very proud to talk this issue, jamani Nina miaka 25, napenda sana watoto hasa wa kiume lakini sina hata mmoja. Hapo zamani kaka YANGU alinikanya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake, akasema utaungua dushe, nimekuwa nikiogopa hilo.

Sasa Nina ndoa na mafanikio siyaoni, japo niliwahi kumpa Mke wa MTU mimba nikakimbia kufungwa nakuchenji line YANGU, sioni hata faida ya kukumbatia pesa na kazi YANGU ni ya kusafiri na magari ni hatari nikianza kuwaza nachoka.

Menye mawazo mazuri plz
dc8fa2703ae4ac9fa42d55db30eb42da.jpg
 
How the morning guys&ladies, I'm very proud to talk this issue ,jamani Nina miaka ,25,napenda sana watoto hasa wa kiume ,lkn sina hata mmoja,hapo zamani kaka YANGU alinikanya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake,akasema utaungua dushe ,nmekuwa nikiogopa hilo ,sasa Nina ndoa na mafanikio siyaoni,japo niliwahi kumpa Mke wa MTU mimba ,nikakimbia kufungwa nakuchenji line YANGU,sioni hata faida ya kukumbatia pesa ,na kazi YANGU ni ya kusafiri na magari ni hatari nikianza kuwaza nachoka ,wenye mawazo mazuri plz
dc8fa2703ae4ac9fa42d55db30eb42da.jpg
Kwani luchange line ndio suluhisho?
 
Yule ni mke wa mtu ana uhakika gani mtoto ni wake? Huenda alidanganywa. Labda kama kuna mazingira yakuaminika kuwa ni kweli.
Mme wake yupo chuo miezi 6,nmemtafuta siku moja mwaka huu toka mwaka 2012,alipelekwa kibabe hospital na kumtolea mimba ,
 
Back
Top Bottom