Mwenyeminazi
Senior Member
- May 24, 2012
- 194
- 67
Mimi na wife wangu tuna miaka mitatu na zaidi sasa tangu tufunge pingu za maisha. na ni mwaka wa tano tangu tuwe wapenzi.
Ninamuamini saaana na yeye ananiamini saaaana tu. Huwa sikagui simu yake na ikiiita nampa bila kuangalia nani anapiga hadi aniulize ni nani huyo anapiga naangalia ndio namueleza ni Fulani ..........
Yeye huwa anakagua yangu mara kibao na huwa namuambia aache hako katabia katatugombanisha. anasema eti siku hizi simpendi tena kama zamani.
Nikamuuliza kulikoni anasema hayo, akajibu sioni kama una wivu wowote kwangu.
Nikamuambia sina wivu kwa vile nakuamini na unajua nakuamini na kukupenda pia. Upendo wangu haujabadilika tangu na tangu.
Jamani nifanyeje nioneshe kuwa nna wivu maana siwezi kupretend wivu, Namuamini saaana.
Au nakosea waungwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????
Mapenzi hayana utaalamu tushauriane kwa lolote jamani.
Mshedede anaupata na anakiri nammaliza kabisa kwa hiyo mikitu yangu kunako 6*6 ila haishi kusema simuonei wivu wowote hata kidogo hivyo anadhani upendo umepungua