Siombi Kazi tena kupitia JamiiForums

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
837
1,550
Kisa tu ni mwanaume,

Yaani nimejitangaza zaidi ya mara tatu, mtu anasema fanya biashara bila kujua hali ilivyo

Ila akija mdada unaona kazi kibao wanataja, na kuvutia pm.
Sio fresh wadau kama kaz zipo tupeane , wengine hata ukondakta tutafanya.
 
Hauombi kazi tena jf wakat huo huo unasema kama kuna kaz tugeane

Wanawake wanapewa kipaumbele sana wanapoomba kaz, sasa mkuu ni muda wa kubadilisha jinsia kwa muda ili lengo litimie..
Dedication : ccm mbele kwa mbele
Bonus track : mtaisoma namba
 
pole sana huku sio pa kupaamini jaribu kufanya mambo practical au manual... wengi humu ni waoga
 
Ukishaona hakuna yeyote wa kukushika Mkono, tambua kuwa wewe mwenyewe ndio Mwokozi wa Maisha yako hivyo tathimini kila hatua unayopitia ili ikupe Chachu ya kupambana zaidi na iwe mwiko kukata tamaa hasa ukiwa Mwanaume..,
 
Back
Top Bottom