PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
- Thread starter
- #21
mtei amrithisha mkwe wake mbowe uenyekiti wa chama
???????????
mtei amrithisha mkwe wake mbowe uenyekiti wa chama
Utaratibu umebadilishwa?Hapatakuwa na kura za maoni, bali vikao husika vitateua jina moja miongoni mwa waliochukua fomu za kugombea.
Kuwa mtoto wa kiongozi hakukuondolei haki zako.Taratibu zipo.
madaraka ni kama muwa kwa mwenye njaa !!!!
acha kukuripuka soma elewe,nimesha jibu hilo swali
Utaratibu umebadilishwa?
Utaratibu umebadilishwa?
Utaratibu haujabadilika,huyo jamaa anasema haya ili kutetea hoja yake mfu.
OTIS
Utaratibu haujabadilika,huyo jamaa anasema haya ili kutetea hoja yake mfu.
OTIS