Sioi Solomon Sumari kugombea Arumeru

Kuwa mtoto wa kiongozi hakukuondolei haki zako.Taratibu zipo.

nimekuelewa ndugu swali ni kuwa huyu ni mkwe wa mtu je?unategemea haki apo?na uyu babamkwe tunafaham hulka yake,nathani mpaka hapo ushasoma mchezo
 
mods: tafadhali unganisha hi na ile iliyo tangulia tupate mtiririka safi
(chama cha kurithishana ccm)
 
Utaratibu umebadilishwa?

Huo ni mtazamo wangu tu, kwani nadhani katika mazingira ya sasa, CCM inajaribu kuepuka mchakato wa kura za maoni katika chaguzi ndogo kwani kura za maoni kwa kawaida zinaambatana na gharama na vurugu nyingi zisizo za lazima.
 
Utaratibu haujabadilika,huyo jamaa anasema haya ili kutetea hoja yake mfu.
OTIS

hoja mfu ni ipi kiongozi,
ninani asiyejua kuwa SOLOMONI SUMARI ni mkwe wa LOWASA?tunakumbuka uchaguzi mkuu JEREMIA SUMARI ambae ni baba wa SOLOMONI,alikua hoi anaumwa na aliye simamia na kufanya kampeni ni lowasa,kama aliweza kumfanyia kampeni mtu aliye hoi kitandani na kwamsaada wa kichakacha akashinda,atashindwa kuchakachua kwenye kura za maoni ilimradi mkwe apate??
 
Utaratibu haujabadilika,huyo jamaa anasema haya ili kutetea hoja yake mfu.
OTIS

Kwenye uchaguzi mdogo, huwa hakuna ule utaratibu wa kwenda kupiga kura za maoni kila kata kwa sababu ya ufinyu wa muda na pia gharama za uchaguzi.

Wanaopiga kura za maoni ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo [sawa na jinsi Mchambuzi alivyosema vikao husika vitateua/pendekeza jina la mgombea]. Then litakwenda kwenye vikao vya wilaya na mkoa, finally mwenye mamlaka ya mwisho ya uteuzi ni CC ambayo hupitia madokezo/maelezo ya vikao vya chini ili kufanya maamuzi.
 
Arumeru mashariki sio jimbo la uchaguzi ni ufalme wa kurithishana atoke baba apokee mtoto apokee mjukuu life goes on!!!!
 
Back
Top Bottom