SIOI adhihirisha Ukomavu wa kisiasa na demokrasia kwa CCM, Aahidi kumsaidia Nasari kuleta maendeleo

Nilipogundua kuwa LUSINDE alihamia CCM toka CDM nkajua kwa nini alizungumza yale aliyoyasema, maama si kawaida ya CCM kuropoka ni kawaida ya vyama vya upinzani.
 
Hakuna kitu hapo.....ukomavu?! Labda ukomavu kwa wizi, rushwa, utawala mbovu, kulindana na kila uchafu hapo ccm mmekomaa.

Sioi aweza kuwa na chembe za uungwana (ingawa simfahamu) lakini hiyo ni kwa mtu binafsi sio chama.
 
Kukomaa kisiasa? Can 1 month do all that?
Pengine tuseme Sioi ni gentleman,nje ya hapo ni kujifariji baada ya kipigo cha mbwa mwizi
 
Ndugu wadau,

Ukweli kuwa CCM ndio chama kikomavu na cha kidemokrasia umedhihirika baaba ya kushindwa ARUMERU.

Mgombea wa ccm ameahidi kutoa ushirikiano na amempongeza nasary kwa ushindi mdogo alioupata, pia ameelezea atatumia taaluma yake ya sheria katika kuwaletea maendeleo wana arumeru.

Ingekuwa CDM wameshindwa unafikili tungesikia matamko kama haya? huu yet ni ushahidi mwingine wa uwezo mkubwa wa CCM, nakiri laiti isingekuwa mipangilio mibovu ya CCM "Washindwe tuheshimiane" na kuchagua "mbumbumbu" kusimamia kampeni matokeo yasingekuwa yale.

Taarifa kamili na NIPASHE:
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Sioi Sumari, amesema atapima upepo wa kisiasa ulivyo kabla ya kuamua kugombea tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Sioi alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na NIPASHE kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo, baada ya kushindwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, katika uchaguzi uliofanyika Jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo ulifanyika kujaza nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kwa mara nyingine katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, alisema bado hajafikiria suala hilo na kwamba wakati ukifika ataangalia upepo ulivyo kwanza.

Kuhusu hatma yake kisiasa baada ya kushindwa, Sioi alisema fani yake ni sheria na ni wakili wa Mahakama Kuu na siyo mwanasiasa, hivyo ataendelea na kazi yake ya uanasheria.

Wakati huo huo, Sioi ameahidi kutoa ushirikiano kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Joshua Nassari, kwa lengo la kuharakisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo.

Sioi alisema amekubaliana na matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ambayo yamempa ushindi mgombea wa Chadema na kwamba atahakikisha anashirikiana naye katika kuhakikisha wananchi wa Arumeru wanapata maendeleo.

“Nimeyapokea vizuri kwa moyo wote matokeo, maana asiyekubali kushindwa si mshindani, nataka kuamini kuwa wana-Arumeru ndio waliofanya uamuzi na kamwe siwezi kuwa na pingamizi lolote katika uchaguzi huo,” alisema Sioi.

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale wakati wa uchaguzi huo, lakini hawezi kuchukua hatua ya kukataa matokeo hayo kwani wananchi wa Arumeru wametumia demokrasia yao kumchagua mtu wanayemuona atawaletea maendeleo.

Ni hayo tu
Shina la wakereketwa wa CCM
Nje ya nchi

.

Sasa kama yeye siyo Mwanasiasa .... kwenye siasa na kutafuta Ubunge alifuata NINI? .. au alikuwa hajui kazi aliyokuwa anaiomba ya Ubunge ni nini? ... bora ameshindwa kwani angewaletea Wana-Arumeru matatizo makubwa zaidi!

.
 
ndugu wadau,

ukweli kuwa ccm ndio chama kikomavu na cha kidemokrasia umedhihirika baaba ya kushindwa arumeru.

Mgombea wa ccm ameahidi kutoa ushirikiano na amempongeza nasary kwa ushindi mdogo alioupata, pia ameelezea atatumia taaluma yake ya sheria katika kuwaletea maendeleo wana arumeru.

ingekuwa cdm wameshindwa unafikili tungesikia matamko kama haya? Huu yet ni ushahidi mwingine wa uwezo mkubwa wa ccm, nakiri laiti isingekuwa mipangilio mibovu ya ccm "washindwe tuheshimiane" na kuchagua "mbumbumbu" kusimamia kampeni matokeo yasingekuwa yale.

taarifa kamili na nipashe:
aliyekuwa mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi (ccm) katika uchaguzi mdogo jimbo la arumeru mashariki mkoani arusha, sioi sumari, amesema atapima upepo wa kisiasa ulivyo kabla ya kuamua kugombea tena ubunge katika jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Sioi alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na nipashe kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo, baada ya kushindwa na mgombea wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), joshua nassari, katika uchaguzi uliofanyika jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo ulifanyika kujaza nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, marehemu jeremiah sumari, aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kwa mara nyingine katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alisema bado hajafikiria suala hilo na kwamba wakati ukifika ataangalia upepo ulivyo kwanza.

Kuhusu hatma yake kisiasa baada ya kushindwa, sioi alisema fani yake ni sheria na ni wakili wa mahakama kuu na siyo mwanasiasa, hivyo ataendelea na kazi yake ya uanasheria.

Wakati huo huo, sioi ameahidi kutoa ushirikiano kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, joshua nassari, kwa lengo la kuharakisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo.

Sioi alisema amekubaliana na matokeo yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi (nec) ambayo yamempa ushindi mgombea wa chadema na kwamba atahakikisha anashirikiana naye katika kuhakikisha wananchi wa arumeru wanapata maendeleo.

“nimeyapokea vizuri kwa moyo wote matokeo, maana asiyekubali kushindwa si mshindani, nataka kuamini kuwa wana-arumeru ndio waliofanya uamuzi na kamwe siwezi kuwa na pingamizi lolote katika uchaguzi huo,” alisema sioi.

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale wakati wa uchaguzi huo, lakini hawezi kuchukua hatua ya kukataa matokeo hayo kwani wananchi wa arumeru wametumia demokrasia yao kumchagua mtu wanayemuona atawaletea maendeleo.

Ni hayo tu
shina la wakereketwa wa ccm
nje ya nchi

kwanza nazani hii ni kwa kuwa sioi ameishi nje ya nchi na especially kenya ambao wameelimika. Otherwise ni wagombea wachache wa ccm ama hakuna kabisa wanao pongeza wenzao...angalia hata kesi nyingi za uchaguzi ni ccm wamefungua kuliko chadema!!
 
Huo ukomavu wangeuonyesha arusha mjini, ubungo, singida etc etc...
[/I]
Taarifa kamili na NIPASHE:
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Sioi Sumari, amesema atapima upepo wa kisiasa ulivyo kabla ya kuamua kugombea tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Sioi alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na NIPASHE kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo, baada ya kushindwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, katika uchaguzi uliofanyika Jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo ulifanyika kujaza nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kwa mara nyingine katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, alisema bado hajafikiria suala hilo na kwamba wakati ukifika ataangalia upepo ulivyo kwanza.

Kuhusu hatma yake kisiasa baada ya kushindwa, Sioi alisema fani yake ni sheria na ni wakili wa Mahakama Kuu na siyo mwanasiasa, hivyo ataendelea na kazi yake ya uanasheria.

Wakati huo huo, Sioi ameahidi kutoa ushirikiano kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Joshua Nassari, kwa lengo la kuharakisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo.

Sioi alisema amekubaliana na matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ambayo yamempa ushindi mgombea wa Chadema na kwamba atahakikisha anashirikiana naye katika kuhakikisha wananchi wa Arumeru wanapata maendeleo.

“Nimeyapokea vizuri kwa moyo wote matokeo, maana asiyekubali kushindwa si mshindani, nataka kuamini kuwa wana-Arumeru ndio waliofanya uamuzi na kamwe siwezi kuwa na pingamizi lolote katika uchaguzi huo,” alisema Sioi.

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale wakati wa uchaguzi huo, lakini hawezi kuchukua hatua ya kukataa matokeo hayo kwani wananchi wa Arumeru wametumia demokrasia yao kumchagua mtu wanayemuona atawaletea maendeleo.

Ni hayo tu
Shina la wakereketwa wa CCM
Nje ya nchi[/QUOTE]
 
Singetaka kuingia katika mafunzo ya lugha yetu ya Kiswahili, lakini 'Uchakavu wa kisiasa kwa CCM' ndio umedhihirika!!!
 
Ndugu wadau,

Ukweli kuwa CCM ndio chama kikomavu na cha kidemokrasia umedhihirika baaba ya kushindwa ARUMERU.

Mgombea wa ccm ameahidi kutoa ushirikiano na amempongeza nasary kwa ushindi mdogo alioupata, pia ameelezea atatumia taaluma yake ya sheria katika kuwaletea maendeleo wana arumeru.

Ingekuwa CDM wameshindwa unafikili tungesikia matamko kama haya? huu yet ni ushahidi mwingine wa uwezo mkubwa wa CCM, nakiri laiti isingekuwa mipangilio mibovu ya CCM "Washindwe tuheshimiane" na kuchagua "mbumbumbu" kusimamia kampeni matokeo yasingekuwa yale.

Taarifa kamili na NIPASHE:
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Sioi Sumari, amesema atapima upepo wa kisiasa ulivyo kabla ya kuamua kugombea tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Sioi alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na NIPASHE kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo, baada ya kushindwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, katika uchaguzi uliofanyika Jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo ulifanyika kujaza nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kwa mara nyingine katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, alisema bado hajafikiria suala hilo na kwamba wakati ukifika ataangalia upepo ulivyo kwanza.

Kuhusu hatma yake kisiasa baada ya kushindwa, Sioi alisema fani yake ni sheria na ni wakili wa Mahakama Kuu na siyo mwanasiasa, hivyo ataendelea na kazi yake ya uanasheria.

Wakati huo huo, Sioi ameahidi kutoa ushirikiano kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Joshua Nassari, kwa lengo la kuharakisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo.

Sioi alisema amekubaliana na matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ambayo yamempa ushindi mgombea wa Chadema na kwamba atahakikisha anashirikiana naye katika kuhakikisha wananchi wa Arumeru wanapata maendeleo.

“Nimeyapokea vizuri kwa moyo wote matokeo, maana asiyekubali kushindwa si mshindani, nataka kuamini kuwa wana-Arumeru ndio waliofanya uamuzi na kamwe siwezi kuwa na pingamizi lolote katika uchaguzi huo,” alisema Sioi.

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale wakati wa uchaguzi huo, lakini hawezi kuchukua hatua ya kukataa matokeo hayo kwani wananchi wa Arumeru wametumia demokrasia yao kumchagua mtu wanayemuona atawaletea maendeleo.

Ni hayo tu
Shina la wakereketwa wa CCM
Nje ya nchi

Hivi Kukomaa kisiasa ndio kukoje? Kwa sababu kwa uelewa wangu kama kweli Sioi amekomaa kisiasa basi angetoa jina lake wakati ule wa mchakato kwa kashfa ya kutumia mamilioni ya pesa kwa baadhi ya watu wa upande wake kuhonga wajumbe na wana-ccm ili apitishwe. Hapo kweli ningesema Sioi amekwiva.
 
Hebu nipe huo ushahidi wa SIOI kutoa rushwa au kutuhumiwa kutoa rushwa labda sikuwa aware na hizo taarifa!
 
Mungi unajua LUSINDE alijifunza CDM yale aliyoyapractise ARUMERU! kuanzia sasa tutawachuja watu wote wanaohamia CCM toka CDM!

utawachuja wewe nani.? kwani we nani ndani ya ccm kama sio vuvuzela tu....na kwa taarifa yako chadema matusi mwiko na ndio maana watu kama lusinde wanakimbilia ccm maana nyie ni zoazoa....Ccm sio kwamba imekomaa sema imezeeka uwezo wa kufanya maamuzi umeisha saizi inaamrishwa na ndio maana hata mwenyekiti wenu alifikia hatu ya kutangaza kujivua gamba.... Na umwambie sioi ameingia kwenye siasa wakati mbovu sana tena alikoingilia ndio kubovu zaidi hadi anadhalilisha na talumu yake. madam alikurupuka akijipanga karibu tena ila abadili timu karibu M4C na asiwe anamsikiliza sana mkwe za kuambiwa changanya na zako.!
 
OOOh kumbe nyie ndio walewale mliopelekwa nje ya nchi na kodi zetu now naanza kuwaelewa vizuri tu yaani mie nikiona mtu anaishi nje ya nchi then anashabikia MAgamba namhurumia sana,kwani nini nmhurumia kwanza hapo nje ulipo hebu palinganishe na nchi yako kwa mahitaji ya muhimu ambayo sio mambo ya anasa na ni ya lazima.Vitu vidogo sana kama huduma za Maji,Barabara,Hospitali,Elimu,Mfumuko wa bei za vyakula,Usafiri,Mawasiliano hebu kaaeni chini nyie mnaoshabikia CCM Maganba japokuwa hamuwezi kuishi bila ya Ccm kwani ndio wazazi wenu wanakoiba kodi zetu na kuwapeleka nje za nchi lkn you have to know that kila kitu kina mwanzo na mwisho kama kweli Ccm ni wakomavu wa Demokrasi nchini iweje watumie Police,Usalama wa taifa,mahakama,Mgambo na hata vikundi mbalimbali ya kigaidi?Acheni mchezo na nchi hii kwani Ccm haina zamana nayo na ipo siku hawa wazazi wenu wataondoka i mean watafariki na kuwaacha nyie na misingi mibovyo ambayo wamewakuza nayo ya kudidimiza Demokrasi nchini mwetu.
Haingia hata kidogo akilini Ccm kuwahadaa wananchi ati ndio wenye Serikali pasipo kufahamu kuwa Serikali ni wewe na mie lkn nyie CCm Magamba mnatumia ujinga wa wananchi hasa wale ambao hawajui kusoma hata kuandika na kuwadanganya kuwa wapinzani hawana Serikali bila kukumbuka sio wote wanaopiga kura ni wanachama wa Ccm Magamba nasema hivi ipo siku mtakuja kuulizwa.Nawapa akiba ya maneno mwisho wenu ushafika na 2015 nyie mtafute kwa kwenda maake hapatatosha ni Ukonga,Segerea,keko kwa kwenda mbele mtakuwa mmevuna kile mlichokipanda kwa miaka 50.
 
Back
Top Bottom