Sio wanaume tu kwa sasa hata wanawake wanatabia hii.

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu kama kichwa kisemavyo,katika pitapita zangu na miangaiko ya hapa na pale hapa jijini nimeona tabia moja ambayo acha niseme hapa jf.

Kama ilivo kawaida yetu wanaume kila akipita mwanamke lazima tugeuze shingo kuangalia kama kuna mzingo nyuma au hapana,basi hii hali imezidi kushika atamu kwani hata wanawake nao siku hizi wamekuwa kama wanaume kila akipita mwanamke kama yeye et nae lazima acheki nyuma kuna nini?

Kwakwel dunia tunakoenda sjui ni wapi tu.inakuwaje mwanamke unageuza shingo kuangalia maumbile ya mwanamke mwenzio,hiyo tabia nimeona sana tena sana.

Ushauri wangu kwenu nyie wanawake acheni hiyo tabia kwani ipo kwa wanaume tu na tuliumbwa hivyo,hizi zama za matako zitapita tu kama zilivokuwa zama za mguu wa bia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunya anye kuku, akinya bata kahara!! Unavogeuza shingo kutizama makalio ya wenzio hakuna anaekukataza, sasa wewe kama nani uwakataze hao wanawake wasitizame??
 
Mimi huwa nageuka kuangalia wanaume "watanashati tuu"
Kuna wanaume wazuri jamani, watanashati, wasafii, wananukia ukipishana naye unahisi umepishana sijui na nini hivyo inabidi ugeuke uhakiki ni mtu au jini.

Tutaenda sawa tuu
 
Back
Top Bottom