Sio Wakenya tu wanaotuzidi Ujanja, hata Warundi, Waganda na Wanywaranda pia

Zamani hapo nyuma sikua napenda kbs kusafiri...haikua hobby...sasa hv nnasafiri had unaona aibu kuaga...na pia nilikua najua matajiri wako mijini tu...kumbe nilikua najidanganya sana..yes kwenda sehwm za mbali mbali kunabadilisha sana mitazamo..usemayo ni kweli...mtu mwingine ukimwambia nenda sehem fulan anaanza kukuambia nan atanipokea! wtf

Uko sahihi sana mimi nachojua ukienda sehemu wewe sio muharifu kama umebeba cheti cha ubatizo utafikia hata kwa katekista unajitambulisha kama muislamu utalala hata kwa sheikh kikubwa umeenda kwa heri na hiyo ya watu kuogopa inawafanya wapende vitu vya bure wakishindwa wnageuka kua madalali wakoshindwa wanakua wezi na waongo, mimi nilikua nawaza hawa wachina wao kwa nini wanatafuta fursa africa sisi tumekaa tu? Jibu nishalipata siku hizi nikuchapa mwendo mwenyewe ukishaurisha watu watakuchelewesha
 
Mie hta cheti sibebi....appearance tu inakutambulisha tu...! Yes ukianza kuomba ushaur utakesha...!
 
Me natokea Kigoma kasulu na nimefanikiwa kuishi Burundi pia aisee Burundi wanatuzidi mbali tu maana mhogo huo wanatengeneza Yebo yebo wanakuja kutuuzia, haya kule wanaviwanda vya nguo za vitenge, sema tu ile nchi imeathiriwa na vita ila isingekuwa hivo wangekuwa mbali, maana hata nanasi na kahawa za manyovu wao huja kuzichukuwa na wanaviwanda vya kusaga kahawa na kuzifanya kama majani ya chai,

Inasikitisha kwa Tanzania kila kijana akitaka kuinuka wanamdidimiza kwa tozo mbali mbali zisizo na maana,
Braza nichek 0754496279 nipo Buhigwe apa
 
Basi tu..hao warundi wako geita balaa mogidin full roho mbaya
 
Kuna Mjadala sana siku kadhaa kuhusu Wakenya na ishunzima ya wakenya kuwa wengi sana Tanzania kwa uwekezaji ilihali sisi tukiwa na kampuni kama 30.

Niliwahi enda Kigoma na nilikaa kaa sana kule na katika kakaa yangu nilikutana na Waganda, Warundi, Wanywarwanda yaani wale wana faidi sana Kigoma nazani kuliko sisi.

Nilicho choka kabisa ni baada ya kuambia kwamba Rwanda ikichukua ule muhogo wana uprocess na wana pelekea Gaboni west Africa kwa kipitia Kongo nazani.

Uganda nao wanachukua ule muhogo wana u process na kwenda kuuza Sudani kusini, Uganda pia wanalima sana Muhogo ila nazani hautoshi kwa wao ku Export then wanakuja kuchukua Kigoma.

Burundi pekee ndo wanao chukua ule muhogo na kuutumia wenyewe.

Ukienda kule Mang'ola Karatu Wakenya wana lima sana vitunguu wamekamata mashamba ya kutosha, wako kule Moshi wanalima nyanya sana, Wako Arusha wanalima nyanya pia.

Watanzania wengi Kigoma tunaichukulia kama sehemu ya hovyo, mbali, kubaha, polini lakini Warwanda, Waganda wanapiga Dolla kupitia muhogo wa Kigoma na wananunuakwa bei ndogo sana.

Mentality zetu ni za kipekee sana aiseee, bado mentality za Ujamaa zinatusumbua sana.
Mada nzur
Basi tu..hao warundi wako geita balaa mogidin full roho mbaya
Migodini warundi hawacheki na kima wakipata chao, lakini unaona watz wakipata na ujamaa wao full kujipendekeza! Ni kweli dawa ni ku venture away from comfort zone, na uthubutu( kitu ambacho watz hatuna!)

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mzee tumekuelewa.
 
Watanzania tumeridhika na maisha. Tumevimbiwa na amani pia. Wengi wetu tuko tu hapa TZ na hata ikitokea fursa nje ya Tanzania huwa hatudumu muda mrefu tunarudi nyumbani. Pia tunajua lugha moja tu ya kiswahili. Hao wa nchi nyingine wengi hujua lugha zaidi ya moja kwahiyo kujichanganya ni rahisi. Kwa mfano wanyarwanda wengi wanajua kiingereza na kifaransa. Ila sisi tupo tu na kiswahili chetu. TUAMKE
 
Nani atatuamsha kwenye usingizi mzito tulionao, Wenzetu wapanapambana kuzitafuta, lakini kwetu nyingi Wala si za kutafuta lakini tumekua wazito sana , Mungu atusaidie tuamke
 
Migodini warundi hawacheki na kima wakipata chao, lakini unaona watz wakipata na ujamaa wao full kujipendekeza! Ni kweli dawa ni ku venture away from comfort zone, na uthubutu( kitu ambacho watz hatuna!)

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Wale jamaa hata ukiwakuta kwa meza yao kuna nafasi ukisema ukae hawaongei kitu...yaan hapana aisee full ubaguzi...
 
Woi hapa Africa mashariki
1. Kenya
2. Tanzania
3. Uganda
4.Rwanda
Burundi hata usiwataje wajinga wa mwisho kabisa
Walitawaliwa kibabe mda mrefu wakawa wajinga...
Mwendazake ndio alikuwa anatupeleka huko
 
Muhogo na dagaa nyama una soko kubwa congo...nilikaa pale Kampala kila siku niliona jinsi gani muhogo ulivyokuwa unapelekwa kwa wingi Congo
 
Me natokea Kigoma kasulu na nimefanikiwa kuishi Burundi pia aisee Burundi wanatuzidi mbali tu maana mhogo huo wanatengeneza Yebo yebo wanakuja kutuuzia, haya kule wanaviwanda vya nguo za vitenge, sema tu ile nchi imeathiriwa na vita ila isingekuwa hivo wangekuwa mbali, maana hata nanasi na kahawa za manyovu wao huja kuzichukuwa na wanaviwanda vya kusaga kahawa na kuzifanya kama majani ya chai,

Inasikitisha kwa Tanzania kila kijana akitaka kuinuka wanamdidimiza kwa tozo mbali mbali zisizo na maana,
Niliishi kasulu wakati nasota kutafuta life ,Nilioajiriwa nilitaman nirud tena huko target ni kilimo na ufugaji ila bahati mbaya kila nikiomba kuhama nafelishwa tu
 
Ukiijua historia ya Mwamwindi ndio utasikitika, hasa pale Mkuu wa Mkoa wa Iringa wakati huo, Kleruu alipoenda Isimani akakuta Mwamwindi Yuko shambani kwake siku ya Xmas, akamzingua eti kwanini hufànyi kazi kwenye shamba la ujamaa uko shambani kwako?
Mwamwindi akajibu leo ni sikukuu, hata kwenye shamba la Kijiji hamna mtu wako kilabuni, akazabwa kibao, ndipo akampiga risasi
Leo ndiyo nimepata kisa kamili nilikua naskia tu kleruu
 
Back
Top Bottom