Zamani hapo nyuma sikua napenda kbs kusafiri...haikua hobby...sasa hv nnasafiri had unaona aibu kuaga...na pia nilikua najua matajiri wako mijini tu...kumbe nilikua najidanganya sana..yes kwenda sehwm za mbali mbali kunabadilisha sana mitazamo..usemayo ni kweli...mtu mwingine ukimwambia nenda sehem fulan anaanza kukuambia nan atanipokea! wtf
Uko sahihi sana mimi nachojua ukienda sehemu wewe sio muharifu kama umebeba cheti cha ubatizo utafikia hata kwa katekista unajitambulisha kama muislamu utalala hata kwa sheikh kikubwa umeenda kwa heri na hiyo ya watu kuogopa inawafanya wapende vitu vya bure wakishindwa wnageuka kua madalali wakoshindwa wanakua wezi na waongo, mimi nilikua nawaza hawa wachina wao kwa nini wanatafuta fursa africa sisi tumekaa tu? Jibu nishalipata siku hizi nikuchapa mwendo mwenyewe ukishaurisha watu watakuchelewesha