Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 584
- 1,522
Siku zote mwenye hela yenye nguvu ndio ana faida zaidi akienda kuwekeza sehemu hela imeshuka thamani, ndio maana wanakimbilia kwetu.
Basi tutafute fursa UG maana pesa yetu ni kubwa kuliko hao.Siku zote mwenye hela yenye nguvu ndio ana faida zaidi akienda kuwekeza sehemu hela imeshuka thamani, ndio maana wanakimbilia kwetu.
Huenda shida ulikuwa unaomba ulime for free yani profit for zero investment.Mkuu umeongea point kubwa sana.
Lakini bongo Kuna changamoto sana halafu hatupendani sisi kwa sisi, nikupe mfano wangu Kuna shamba huku Sumbawanga ni la kanisa bhasi nikaomba Ekari 40 nilime alizeti Toka mwaka Jana mwezi wa9, mwezi wa 10 mwishoni ndio nilikuja kuonyeshwa shamba tena ni baada ya kuwasumbua sanaaa.
Bhasi msimu wa kulima alizeti huku ni mwezi February kwasababu mvua zinakua zimepungua kiasi, kipindi nasubiri msimu nashangaa huyo mzee kanifuata ananiambia shamba alilonipa amempa mtu mwingine, DAAH NILISIKITIKA SANA NIKASEMA POA HAINA SHIDA.
Kuna eneo niliomba nilime kiangazi kwasababu maji yapo karibu walinibania kunipa eti hapo Kuna mtu huwa analima Amekuja mkenya mmoja hivi wamempa eneo lilelile nililoomba... NIKAPIGA MOYO KONDE SITAKUJA KUOMBA TENA SHAMBA KWA HILO KANISA JAPOKUA NASALI HAPOHAPO KANISANI.
BONGO NYOSO SANAAAA, TUMEJAA HILA, WIVU NA HUSUDA NA HIZI TABIA HATA VIONGOZI WETU WAKUU WA KISERIKALI WANAZO, YAANI WAKIONA CHALIII UNATAKA KUFANYA VITU VIKUBWA UTAONA VIUZIBE VINGI SANAAAAA.
Wabongo ni wavivu sana halafu visingizio ni Bilion mojaMe natokea Kigoma kasulu na nimefanikiwa kuishi Burundi pia aisee Burundi wanatuzidi mbali tu maana mhogo huo wanatengeneza Yebo yebo wanakuja kutuuzia, haya kule wanaviwanda vya nguo za vitenge, sema tu ile nchi imeathiriwa na vita ila isingekuwa hivo wangekuwa mbali, maana hata nanasi na kahawa za manyovu wao huja kuzichukuwa na wanaviwanda vya kusaga kahawa na kuzifanya kama majani ya chai,
Inasikitisha kwa Tanzania kila kijana akitaka kuinuka wanamdidimiza kwa tozo mbali mbali zisizo na maana,
Hii sio kweliSiku zote mwenye hela yenye nguvu ndio ana faida zaidi akienda kuwekeza sehemu hela imeshuka thamani, ndio maana wanakimbilia kwetu.
Shida yetu tunaridhika sana
Zamani hapo nyuma sikua napenda kbs kusafiri...haikua hobby...sasa hv nnasafiri had unaona aibu kuaga😀😀...na pia nilikua najua matajiri wako mijini tu...kumbe nilikua najidanganya sana..yes kwenda sehwm za mbali mbali kunabadilisha sana mitazamo..usemayo ni kweli...mtu mwingine ukimwambia nenda sehem fulan anaanza kukuambia nan atanipokea! wtfSio kuridhika ni kukosa exposure na umaskini wa akili lakini pia hatujui kua Fursa unaifuata iliko na Fursa haikukuti ukiwa umekaa hii ilifanya nitembee sehemu kibao kujua nini wengine wanafanya