donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Wanavutia, pembeni una kaugali kama ngumi, mchuzi mate...
Inawezekanahaikosi uliwaokota
Ndio mkuuHao ni senene mkuu?
Hahahahah, we dadangu weeNsenene na matoke ikifika jioni ni kaateeerreerooo mtindo mmoja.
hahahaaInawezekana
Hahahahah, we dadangu wee
KatereroAbeeeh. ......
Aachaaa kabisa hiyoo kitu, ni hatarii kama ke hana maji ya kutosha mwilini anaweza mpa mtu mada case hehehehehheKaterero
Hahaha, mi nlishuhudia mara moja aisee I dont wish againAachaaa kabisa hiyoo kitu, ni hatarii kama ke hana maji ya kutosha mwilini anaweza mpa mtu mada case hehehehehhe