Sio vizuri kama hivi....!

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,199
18,470
10277896_635437399845218_2805895002455608894_n.jpg


umenisikia utafiti, Kibo10, DEMBA ladyfurahia miss chagga.....
 
Last edited by a moderator:
Ha!ha!ha!Badala mtoto asikie raha ya kuendeshwa kwenye pikipiki sasa atakuwa anajuta.
 
Ooyooo sasa naona kama mmechemsha maana naona hizi picha zinajirudia rudia na kama hamuna picha semeni mupewe muwongozo kama kule na zipo sehemu tele kama vile soko la kariakoo kuna uchafu na uwanja wa ndege matundu hakuna na maji shida na makaka poa na madada wale hujieta masista duu na feri na kuna vivutio vingi tu na wabugea sembe na bangi kama kitale na muve zake ni safi sana na hizi za kurudia huwa kinyaaa tena
 
Ooyooo sasa naona kama mmechemsha maana naona hizi picha zinajirudia rudia na kama hamuna picha semeni mupewe muwongozo kama kule na zipo s ehemu tele kama vile soko la kariakoo kuna uchafu na uwanja wa ndege matundu hakuna na maji shida na makaka poa na madada wale hujieta masista duu na feri na kuna vivutio vingi tu na wabugea sembe na bangi kama kitale na muve zake ni safi san a na hizi za kurudia huwa kinyaaa tena

Hamna, mpewe, muongozo, hujiita, wabugia, movie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom