Sio tu makampuni ya simu, bali ata makampuni ya ving’amuzi vya tv ni ya kupunguza gharama yanapandisha bei kiolela sana

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,220
1,113
Wakuu kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi na watumiaji wa mtandao wa simu yakua gharama za upatikanaji wa huduma za vifurishi vya simu kwa makampuni ya simu nnchini yamekua ni gharama sana hadi kupelekea wananchi kulalamika sana kutokana na iyo hali.

Sasa tuzikumbushe tu izi mamlaka sio tu mitandao ya simu hapana hata aya makamuni ya ving’amuzi ni ya kuangalia msisubili tulalamike wizara inayousika na aya mambo ifike mahala ijitambue azam ilianza kwa kuuza kifurishi elfu 12 leo hii iko kwenye 20+ gharama zinazidi kuwa kubwa wakati wananichi maisha yanazidi kuwa magumu bila ya viinua mgongo.

Serikari kupitia wizara yake inayosimamia izi taasisi lazima ijue ni namna gani itafanya ili kusaidia raia wake kuishi kwenye standard bora ya maisha kwa kuregurate huduma zote zinazokua zinatolewa na makampuni ambayo yanastawisha haki za binadamu bila kuathiri pande zote mbili.

Kungewekwa utaratibu wa makampuni ayo yauze vifurushi kwa kuangalia hali za watanzania walio wengi na kiwango cha juu kiwe ni elfu 15 / month at-least sio wanajiamulia tu ovyo ovyo.

JAMANI NI MAWAZO TU / MNISAMEHEHE KWA HATI MBOVU ILA UJUMBE UFIKE
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom