The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,890
Nakumbuka siku alipotembelea jiji la Dar kukagua miundombinu ya barabara akiwa waziri mkuu alimshambulia kwa maneno makali sana hadharani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo mheshmiwa Baziri Mramba kutokana na ujenzi uliokuwa chini ya kiwango jambo lililomfanya mkuu wa mkoa wa wakati huo ndugu Makamba kuingilia kati na kumwambia Waziri Mkuu Lowassa kuwa ukiona mtu mzima kanyamaza ujue ameshakiri makosa anaomba msamaha.
Naona usemi huu kwa sasa unatimia kwa Lowassa kwani naona sasa amenywea kawa kimyaaa maana kila anacholalamikia anakuta hakina impact yoyote kwa sasa.
Nadhani anashindwa tu kuomba msamaha ila amekiri mziki wa sasa si kama wa Jakaya.