Sio siri Marin Hassan Marin wa TBC 1 unaboa sana..

I take that what you have said here about Marin is your wish for him. It is unfortunate that he negate every thing you have said about him. Eti kichwa...yes he has a big bald head with a small mass in it.
Searching........E502 Server is not found!Try again later
 
Nakubaliana pia kuwa jamaa ni mzuri, issue pia ni kuwa kipindi ni kifupi na hivyo hawezi kuacha mtu atiririke atakavyo, ni kudodosa kila mahala pa msingi! Ana uelewa mkubwa katika nyanja tofauti jambo linalompa nafasi kuweza kuuliza mabo mengi.
mara nyingi mtangazaji mzuri katika interview, ni yule anae m'bana mtu kisha akamfanya afunguke ! Si lazima kuhukumu kuwa jibu ni sahihi, kimsingi ni kum'bana afunguke, hivyo mbinu moja wapo ni maswali mfululizo. Kama ungebahatika kusiliza interview za Tido akiwa BBC ungejifunza hili ! Mtu kama Yusuf Makamba katika Interview, yeye huwa ndio anadrive (niliwahi kumuona alivyomtesa Rioba) Lakini kwa Tido, Makamba alikuwa analia na kulalamika ''Tido mswalie Mtume (s.a.w) !'' pia mtindo huo anao Abdallah Majura. Mfano wa watu wabovu kabisa katika hiyo tasnia ni Maulid wa Kitenge !
 
Huyu jamaa is Very intelligent.Nadhani mtoa mada haujamwelewa kdgo huyu jamaa,ni mfatiliaji mzur sana hii session ukiona ameingilia ujue anamsaidia au anataka amchalenji mhusika.Mf.Kama juz kati alikuwa akimhoji Dr.Ndalichako.Kama ulifatilia.Mi namkubali sana huyu jamaa kuliko watangazaj wengne.Also ana exposure kubwa cyo tu kwenye mahojiano bali hata ikija ile session ya sports.Cjui !bt ni kichwa

Hata mimi namwona ni rasilimali mtu ya maana sana kwa chombo cha habari.. Anafaa hata kuelekea kule kwa Tido Mhando!

TBC anapoteza muda wake..
 
Mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa kipindi cha Jambo cha asubuhi kupitia TBC 1, kwa sababu hunifumbua akili ya mambo mengi ambayo sikuyajua kabla. Tatizo linalonikera ni mtangazaji wa kipindi bwana Marin, mara nyingi anapowauliza maswali wageni waalikwa ambapo huwa maswali mazuri, sasa kabla mgeni hajamaliza kujibu vizuri jamaa anaingilia kati na kuzungumza mengine kabisa.. Wakati sisi watazamaji bado tunataka kupata jibu kiufasaha.

Fatilia hli mdau utaona mwenyewe. Jamaa huniboa sana. Japo kipindi ni educative.

TBC 1 ndo kitu gani? We kuwa kama mimi TZ hakuna TV yoyote ya kulisaidia taifa. Wote ni wazugaji tu, what they are doing is to make all Tanzanians mentally alienated to support CCM's corrupt government. basi.
 
Matatizo ambayo mimi nimeyaona kwenye katika kipindi chake cha Jambo ni haya;
1. Anaongea sana. Badala yakuuliza swali amwache mgeni aliyealikwa atiririke,yeye ndio ana kua anatiririka na kumuacha mgeni ameduwaa.
2. Anamkatisha mgeni aliyemualika wakati anaelezea kitu cha muhimu ambacho unakuta ndio issue kuu iliyomfanya mgeni aitwe kwenye kipindi. rejea, alipomkatisha dokta ndalichako wakati anataka kuelezea usahihishaji mitihani kwa kutumia teknolojia ya komputa utakavyokuwa. Yaani ana ule ujinga wa kuuliza swali juu ya swali.
Mi nadhani angeenda tu kutangaza zenjifm.
 
Huyu jamaa is Very intelligent.Nadhani mtoa mada haujamwelewa kdgo huyu jamaa,ni mfatiliaji mzur sana hii session ukiona ameingilia ujue anamsaidia au anataka amchalenji mhusika.Mf.Kama juz kati alikuwa akimhoji Dr.Ndalichako.Kama ulifatilia.Mi namkubali sana huyu jamaa kuliko watangazaj wengne.Also ana exposure kubwa cyo tu kwenye mahojiano bali hata ikija ile session ya sports.Cjui !bt ni kichwa
wewe umelonga,jamaa ni moja ya watangazaji wazuri hapa bongo!
 
Back
Top Bottom