Sio shida tu bali inachangiwa na tamaa ya mtu mweusi!

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu( In Magufuli voice)

Sikubaliani na watu wanasema kwamba ni ugumu wa maisha tu ndio unaosukuma watu kuiba inapotokea ajali au janga lolote.Bali kwa upeo wangu ninaona inachangiawa na tabia zetu watu weusi.
Nimejaribu kufuatilia matukio na majanga mengi yaliyotokea katika bara la Europe na America. Nchi ambazo hata kama hauna kazi, serikali zao zinakulipia kila kitu;rent, education, travels, healthcare na pesa juu za kukutosheleza mwezi mzima. Lakini kunapotokea looting wahusika wengi ni blacks na kusikitisha vitu wanavyoiba sio kutokana na ugumu wa maisha bali ni habits ya mtu mweusi!

Mfano riots iliyotokea London:

1565534897948.jpeg

Inawezeka hizi alizoiba ni sweets na paketi za crips ambazo hazizidi hata Tshs 6000!

1565534987797.png

1565535154872.png

1565537023692.png

Everything must go: A youth poses with a large sack of Tesco Value Basmati rice, proving that items need not be valuable to be targeted by looters

1565535346909.png

Brazen: A masked up woman has her arm full of bottles as rioters loot a shop in Hackney, north-east London

1565535553221.png

A child cycles away with a supermarket basket looted from a Tescos in Peckham Rye, where looters smashed shop front windows, looted and one building was set on fire

1565535743747.jpeg

Sisters help themselves!!
 
Attachments

  • 1565535241795.png
    1565535241795.png
    104 KB · Views: 22
1565537505541.png

Looters make off with merchandise from several downtown businesses in New Orleans, Aug. 30, 2005, after Hurricane Katrina hit the area.
 
Acha kuongopea watu, umechagua picha za watu weusi, kwa taarifa yako wizi hauna race, race zote ni wezi ndio maana wizi umepigwa marufuku hata kwenye vitabu vya dini, hapa kwetu bongo unasababishwa na hali ngumu ya maisha, na ndio ukweli mchungu
 
Inapotokea riot kwenye nchi za weupe. Wanaohusika na looting wengi ni weusi na pia kukamatwa na police ingawa idadi yao kwenye population husika ni ndogo!

Mfano, ilipotokea riot LONDON 2011 waliokamatwa kwa wizi wengi ni weusi na hata weupe waliokamatwa ni ambao wanaishi kwenye maeneo yaliyo na blacks wengi. Na idadi ya weusi Uingereza ni ndogo ulinganisha na weupe!
 
Inapotokea riot kwenye nchi za weupe. Wanaohusika na looting wengi ni weusi na pia kukamatwa na police ingawa idadi yao kwenye population ni ndogo!

Mfano, ilipotokea riot LONDON 2011 waliokamatwa kwa wizi wengi ni weusi ingawa idadi kubwa ya nchi ni weupe!
Umesahau au hutaki kukumbuka.kuna wazungu walikamatwa Tanzania wakiiba kwenye ATM za Hapa Bongo.Mwizi hauchagui Rangi.
 
Acha kuongopea watu, umechagua picha za watu weusi, kwa taarifa yako wizi hauna race, race zote ni wezi ndio maana wizi umepigwa marufuku hata kwenye vitabu vya dini, hapa kwetu bongo unasababishwa na hali ngumu ya maisha, na ndio ukweli mchungu
Umesahau au hutaki kukumbuka.kuna wazungu walikamatwa Tanzania wakiiba kwenye ATM za Hapa Bongo.Mwizi hauchagui Rangi.

You are missing the point!!
Ninachotaka kuonyesha sio shida tu inayowasukuma watu kuiba linapotokea tatizo bali habits za mtu mweusi.

Ndio maana nikatoa mfano hata nchi zilizoendelea ambazo kuna asilimia fulani ya weusi. Kunapotokea looting wahusika wengi ni weusi na wanavyoiba sio kutokana na shida bali hulka!

Mfano:Mtu anapoiba trainers au T-shirt kwa ajili ya kuvaa wakati nyumbani anazo kibao au unavunja duka kwa ajili ya kuiba packets za sweets. Hii ni tamaa na hulka ya mtu mweusi kupenda vya bure!
 
Mwafrika akiiba ni hulka yake,ila Mzungu akiiba ni sababu kutokana na Shida.Kwa mwangalio huo tutafika kweli,hiyo ni aina ya negative thinking tunayojaribu kuiondoa kwenye kizazi kipya cha waafrika.
 
Hiyo riot ya nilikuwepo mkuu kweli wengi walikuwa ni blacks kwa sababu imekaliwa na blacks wengi na wasiokuwa na ajira na wenye ajira pia ila cha kushangaza alikamatwa msichana wa kizungu (18) akiwa nae mmoja wa waizi lakini sio peke yake mweupe bali kilichovutia hisia ya wengi ni kuwa alikuwa mtoto wa millionaire mmoja

Kweli weusi linapotokea vurugu wao target yao ni looting tu
Kuna siku kulikuwa na marathon London na waliweka maji ya chupa mengi sana pembezoni mwa barabara lakini cha kushangaza blacks wengi walikuwa wanabeba Yale maboksi ya maji na kuondoka nayo bila aibu huku zikirekodi
Nafikiri ni tabia ya kuigana na kutokuwa na mafundisho ya kuwa kama sio chako usichukue
 
Mbona unajichanganya Mkuu.Mzungu Binti tajiri aliiba kwa sababu ya hulka yake.ila Blacks target yao ni looting tuu,yaani sijui ndio kusema wanzaliwa nayo hiyo tabia
 
Sijichanganyi mkuu huo ni mfano hai uliotokea siku ya riot na huyo alikuwa na marafiki zake ambao waliamua kufanya uhuni huo kimkumbo tu kama alivyojieleza yeye baada ya kuhojiwa na
Hao hawazaliwi nayo hii tabia bali ni society ndio mbaya kwa sehemu zingine
 
Mwafrika akiiba ni hulka yake,ila Mzungu akiiba ni sababu kutokana na Shida.Kwa mwangalio huo tutafika kweli,hiyo ni aina ya negative thinking tunayojaribu kuiondoa kwenye kizazi kipya cha waafrika.
You are still missing my point!
Mkuu hakuna sehemu nimesema kwamba wazungu hawaibi!

Ukiliangalia ili jambo hapa kwa jicho la hapa Tanzania unaweza kushindwa kuona tatizo! Hii ni kutokana na lack of statistical data analysis hasa prisons na crimes!

Labda hata bila statistical data, wewe unaweza kukubaliana na mimi majela yetu yatakuwa yamejaa na wafungwa wizi kwa asilimia kubwa sana ukilinganisha na crimes nyingine. Ninajua wengi watasema ni sababu ya umaskini lakini jaribu kutafuta data za nchi nyingine ambazo miaka ya nyuma uchumi wao ulikuwa kwenye level yetu sasa hivi halafu ungalie wafungwa wa wizi walikuwa asilimia gani wakati huo!!
 
Mwafrika akiiba ni hulka yake,ila Mzungu akiiba ni sababu kutokana na Shida.Kwa mwangalio huo tutafika kweli,hiyo ni aina ya negative thinking tunayojaribu kuiondoa kwenye kizazi kipya cha waafrika.
Ukiangalia demography of London 2001-2011:
White - 60%
Asian - 19%
Black - 13%
Other - 8%

Lakini ukiangalia London prison statistics. Walifungwa kwa wizi, weusi ni aslimia kubwa sana ukilinganisha na white and asian!!
 
Mbona unajichanganya Mkuu.Mzungu Binti tajiri aliiba kwa sababu ya hulka yake.ila Blacks target yao ni looting tuu,yaani sijui ndio kusema wanzaliwa nayo hiyo tabia
Mkuu hapa ndio unashindwa kuelewa. Wewe wanaposema tatizo la africa ni corruption itakuwa inakupa shida sana kukubali kwa sababu BAE systems ya UK Walitoa hongo kwenye deal la rada.
 
Sawa wapo wazungu wezi lakini sio kukimbilia mafuta vile, hakuna mzungu ata kimbilia mafuta vile ni hatari ile jamani watanzania duh.

Back
Top Bottom