jaruri
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 716
- 459
Kuna dhana inaanza kujengeka miongoni mwa baadhi ya watu hasa CHADEMA,ya kuilaumu serikali kutokana matukio ya uvunjifu wa amani yanayo tokea nchini hadi kufikia hatua ya kupanga kuandamana,,
MOSI
Matukio ya uhalifu ni matokeo ya dhambi,anaweza kuyaondoa Mungu pekee anae badili roho ya uasi na kumgeukia yeye kama alivyofanya kwa Sauli na kuwa Paulo,,Binadamu wanavyo ishi hutofautiana katika namna tofauti na roho ya dhambi ilioko ndani huleta vifo na mauaji,unaihusishaje serikali na haya? Au hukumbuki kuwa yesu alisulubiwa na wanyanga'anyi pembeni yake? Hapo utajua uhalifu na uuaji haujaanza leo,,,Kenya watu wamekufa kibao mfano ni Chris Msando,,hii ikufumbue macho kuwa uhalifu upo popote,,,na hata huku vijijini watu wanauana na wapo wanao potea kwa sababu mbali mbali,ardhi,mapenzi,chuki,dhuluma n.k,,yote haya tuilaumu serikali? Dawa ya haya ni kubadili tabia na kumrudia Mungu,,na kila Mwananchi awe mlinzi wa mwenzake,,tutoe taarifa kwa jeshi la polisi tunapoona dalili za uhalifu,,,
PILI
Mauaji yanayotokea kwenye maandamano,,,Hivi kama polisi ambao wana dhamana ulinzi wametoa onyo kuwa watu wasiandamane kwa sababu za kiusalama,,wewe unalazimisha maandamano tena unaziba njia na kuathiri shughuli za watu wengine,and then unarushia polisi mawe unataka nini zaidi ya vurugu? Kabla hujailaumu serikali badili njia ya kutaka hoja yako isikike ,maandamano sio kila kitu